Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Kwa ninavyojua wawakilishi wote wanaoenda kuiwakilisha nchi sehemu yoyote lazima wapewe bendera, sasa hawa wapuuzi wanatuwakilisha kwa makubaliano yapi?
 
Wakati fulani nikipita kwenda kwenye channel ninazozitaka huwa najikuta nimepitia channel zinazoonesha wanachoita Big Brother Afrika. Humo huwa naona vijana wa kiume na kike wakilala pamoja, wakioga pamoja, wakihojiwa, wakicheza, wakipika, wakiimba, na mengine mengi ambayo katika utamaduni wa kiafrika yasingekuwa ya kawaida tena hadharani. Sasa mimi huwa sielewi ni nini kinachokusudiwa na hicho kinachoitwa shindano la BBA. Ni kwaajili ya kujifunza au kufundisha nini? Je hao vijana wakitoka hapo wanakuwa watu wa aina na wenye manufaa gani kwa jamii. Mwanzoni nikifikiri kwa jina lake itakuwa ni wavulana watupu, kumbe na wasichana wamo yaani ni kama kusema Big Brothers and Sisters Afrika. Yaani sielewi hata nikiangalia sijui lolote na sioni la kujifunza au vijana wa Tanganyika kujifunza ingawa nasikia kuna mmoja aliwahi kuibuka na Mil 100 hata sijui aliishia wapi na ana manufaa gani kwa jamii.
 
sasa kama huelewi nini kinakusudiwa ni wazi hicho kipindi si cha watu kama wewe. endelea tu kutazama vipindi vingine unavyovielewa hicho waachie wenyewe kwenye dstv kuna mamia ya channels huwezi kuangalia ua kuelewa zote. BBA ina watu wake na ni wazi wewe sio mmoja wao.
 
Kama unafuatilia BBA hotshots utagundua kuwa moja kati ya vijana wenye akili ni Tayo from nigeria, Goitze from botwana na Idris from Tanzania.. Idris ni comedia in a way, na kuna saa anakuwa serious, anajua kujificha, lina weza pita lisaa lizima hajaonekana alipo mpk zile meseg zinapita kumuulizia.. Akirudi anakuja na jambo.. Alipotea amerudi amevaa wigi kawa kama demu. Nachukia hiyo tabia..
Anatuwakilisha watz asituletee tabia za ajabu.

Namshauri hata kama ni dem, Guitse dogo wa botwana mwenye dread locks anaendana nae naona jana alijaribu kumweka karibu ila dogo is on demand kw mates wengine so anajidai kupotezea bt atlast Idris atatisha kwa Guitse..

Over.
 
sasa kama huelewi nini kinakusudiwa ni wazi hicho kipindi si cha watu kama wewe. endelea tu kutazama vipindi vingine unavyovielewa hicho waachie wenyewe kwenye dstv kuna mamia ya channels huwezi kuangalia ua kuelewa zote. BBA ina watu wake na ni wazi wewe sio mmoja wao.
Mwenyekiti, kuuliza si ujinga. Huenda nikieleweshwa nikajifunza mengi kwa kuangalia sema sijapata mwongozo ndio maana nimejikuta mshamba
 
Mie napenda kuiangalia japo haina maadili ya kibongo(ndomana imekuwa rated 18yrs) ila humu watu wanaenda kufall in love tu, chunguza utaniambia mfano mzuri yule dada yetu mmoja(jina nmemuhifadhi) alipandwa live bila chenga.
 
hapo ni sawa na kuchukua machizi kumi kuwafungia kwenye nyumba moja na kusubiri uone vituko watakavyofanya baada ya akili zao kuvurugwa na 'ufungwa' wa kujitakia......kwa wengine hio ni burudani ya aina yake kuangalia na hawakosi.
 
Mie napenda kuiangalia japo haina maadili ya kibongo(ndomana imekuwa rated 18yrs) ila humu watu wanaenda kufall in love tu, chunguza utaniambia mfano mzuri yule dada yetu mmoja(jina nmemuhifadhi) alipandwa live bila chenga.

Usiume maneno, huyo mwanamke aliyetafunwa uroda hewani mbele ya ulimwengu anaitwa Bhoke, alikua mfanyakazi wa EATV.
 
sasa kama huelewi nini kinakusudiwa ni wazi hicho kipindi si cha watu kama wewe. endelea tu kutazama vipindi vingine unavyovielewa hicho waachie wenyewe kwenye dstv kuna mamia ya channels huwezi kuangalia ua kuelewa zote. BBA ina watu wake na ni wazi wewe sio mmoja wao.

hujajibu swali mkuu unapayuka kama popo yambfuuuu
 
I like Idris' and Tayo's characters in the house.....

Sure sure.. Bt where is Samatha, lilian and Idris gt fun.. It is a very nice combo. Tayo anajiamini sana n he biliv what is doing is right all th way.. Sabina th girl from mombasa kaluz focus sh is askn her self wat is happening.. Coz siku ya kwnza na pili alikuwa on top
 
Mie napenda kuiangalia japo haina maadili ya kibongo(ndomana imekuwa rated 18yrs) ila humu watu wanaenda kufall in love tu, chunguza utaniambia mfano mzuri yule dada yetu mmoja(jina nmemuhifadhi) alipandwa live bila chenga.

Mkuu suala la mapenzi, kufall, kuzini watu wa mungu hukosea, majambazi hulia..hayana mwenyeji.. Wewe ungeenda pengine ungefanya mabaya
 
Back
Top Bottom