Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Bongo tuna vipaji vya ubishi. Tunabishana hata visivyobishika. Mtu unakurupuka umetoka chooni unakuja jf kubishana tu jambo dogo!! Ni utoto mkikua mtaacha. Sasa we unayebisha kuwa haiwakilishi Tanzania unataka kusema ni muwakilishi wa wapi? Kutokumkubali kwako hakuondoi ukweli wa uwakilishi wake kwa Tanzania.

Hao ndio wawakilishi wa Tanzania hata kama hutaki wakuwakilishe. Kama hutaki kameze piliton au kama unachefuka kunywa juice ya ndimu.

Anakuwakilisha wewe na ukoo wako, na vyupi vyako, mtu ameenda kufanya ufuska eti anatuwakilisha. Narudia tena anakuwakilisha wewe na wajinga wenzio Goodluck Mshana
 
Last edited by a moderator:
Tena akija kuibuka mshindi ndio kwaaanza anakuja kuwaharibu watoto wetu wa kike manake watoto wa siku hizi wanavyowapenda watu maarufu!!!

Hivi binti kama mimi nije niseme fulani kaniharibu itakua uchizi... zitakua ufyatu wa akili zake ndio maana kaharibika
 
Anakuwakilisha wewe na ukoo wako, na vyupi vyako, mtu ameenda kufanya ufuska eti anatuwakilisha. Narudia tena anakuwakilisha wewe na wajinga wenzio Goodluck Mshana

Asante mkuu kwa matusi...huenda ipo siku Mungu ataubadili Moyo wako. Weekend njema @lpycalypse
 
Last edited by a moderator:
Kwani wasiriki walioptaa wakiumee walishindaa kwakutumia siraha gani ? Kama sio kudil na papuchi mwanzo mwishoo
 
kuna tabia ya watu kusema kuwa washirki wa hayo mashindano ni wawakilishi wa Tanzania.
Ukweli ni kwamba nchi haijatuma wawakilishi wowote huko bba ila hao walioenda wamejiwakilisha wenyewe na familia zao,so kusema eti hao ni wawakilishi wa Tanzania ni makosa makubwa sana
Nadhani tumeelewana
 
Back
Top Bottom