Bifu gani ilitikisa Taifa?

Ngoja nikupe za kihenga henga
Sister p na Zay b
Hao mpaka wazazi walihusika
Mzee machache na balozi masili..... balozi akasema sababu inamiliki Tv ndiyo maana sikumbuku bifu lao lilikuwa nini?
 
Kuna la Kakobe na gwamanywa vs manabii
Bashite na Gwajima
Kuhani Musa Vs Kiboko ya wachawi
KULOLA NA MWENZIE NDIO IKAZAA TAG NA EAGT
 
No reform no Election

Hapo hamna bifu ukitoa hiyo ya Sugu na Ruge ya kunyanganywa dili la marelia na Ruge ambalo lingempatia utajiri mkubwa.
 
Mi najua mabifu ya katuni kwenye magazeti tu Lodilofa na comrade kipepe
 
Hizo bifu ziliwatikisa wao na shabiki zao, sio Taifa
 
Hakuna bifu za kutikisa nchi. Watu mnagombana kisa mademu au umaarufu ndiyo nchi itikisike? Wasanii wengi mabifu yao Ni kwa sababu ya usupastaa, "kwamba Mimi Ni Bora zaidi yako".
Fid Vs Joh
J Nature Vs Chillah
Seleman Vs Ditto
Seleman Vs Solo Thang
Sister P Vs zay B
Wema Vs Wolpa

Bifu zinatengenezwa ili watu wapige Pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…