Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,893
Sawa mkuu ila sidhani kama huo ukweli utakujakupatikana kwa mazingira haya haya yaliyopo.Mungu alijua hili litatokea ndio maana alitoa hukumu kupitia kitabu cha ufunuo ambacho alisema adhabu ipo kwa atakayeongeza au kupunguza neno lolote la Mungu.... Hivyo naamini mchakato mzima watu walitumia akili zao kuamua kitabu kipi kikae kipi kitolewe ila leo hii ukihoji wanasema WALIONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU.... Sasa unabaki kujiuliza je kivp Roho MTAKATIFU aongoze Biblia kukinzana kila dhehebu.
Ila naamini ukweli utapatikana cku moja