Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

mohamed ibn abdulah alipasua mwezi vipande viwili? nasubiri jibu
Swali lako nimeshalijibu katika post # 321.

Nakuuliza wewe sasa,wewe unasemaje kuhusu suala la kupasuka vipande viwili mwezi ? Kwamba ni uongo au haiwezekani au halikutokea ?

Na kama hivyo ndivyo,naomba unipe sababu juu ya madai yako,yaani uthibitisho wa kielimu ?

Nipo hapa nasubiri jibu toka kwako. Asante sana.
 
Nacheka sana. Hakuna nabii au mtume anaefanya muujiza kwa uwezo wake,bali muujiza ni kwa idhini ya Allah,ili kwa watakao amini waamini na kinyume chake.

Mwezi ulipasuka kwa idhini ya Allah kupitia kwa mtume wake,hii ni miongoni mwa miujiza ya mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake.

Nakuuliza na wewe :

1. Wewe umeumbwa ?

2. Je maneno yako yameumbwa ?

3. Una kiwango gani cha elimu kuhusu Qur'an na sunnah za mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake.

Ukijibu nakuja kuendelea hapa nilipo ishia
mbona mwezi upo kamili na hakuna vipande viwili vya mwezi?
nipe andiko la mwanahistoria au mwandishi aliyeandika tukio la mwezi kupasuka vipande viwili
 
mwezi haujawahi kupasuliwa vipande viwili ndio maana hadi leo mwezi ni mmoja
 
Mh muujiza gani mtume alifanya mkuu
 
mwezi haujawahi kupasuliwa vipande viwili ndio maana hadi leo mwezi ni mmoja
Hujathibitisha hilo. Huu ndio ubaya wa kucopy mambo bila kuelewa mambo na kuyasoma kwa undani.

Tukio lilitokea zama za mtume Muhammad baada ya kuombwa na watu wa Makka afanye muujiza. Mwezi ulishuka kisha ukapasuka vipande kiasi ambacho kwa uwazi ule walikuwa wanauona mlima wa Hira,kwa mapokezi mengine yamepokelewa yakisema kipande kimoja kilikuwa kwake mbali na kipande kingine,kisha ukarudi katika hali yake ya kawaida.

Pili,muujiza hufanywa na Allah na mitume wake na manabii aliowateua ila kwa wachaji Allah ambao tunawaita Mawalii hawa huwa wanakuwa na karama kutenda mambo yasiyo ya kawaida. Hii nimekupa faida na kuna mawalii wa Allah na mawalii wa Shetani.

Lakini hitimisho lako la kuwa kisa ulipasuka na mbona uko mmoja kufikiri huku ni kufikiri kitoto na kukosa maarifa ya ndani,ule ulikuwa ni muujiza na mwezi uko mmoja,kawaida jambo lilitakiwa lifanyike kisha lirudi katika hali yake ya awali na hivi ndivyo walitaka iwe watu wa Makka ili wapate kumuamini mtume wa Allah amani iwe juu yake,kwahiyo jambo likafanyika kama walivyotaka kisha mwezi ukarudi katika hali yake ya kawaida.

Mkiamua kusoma msome kweli. Msitupotezee muda kwa hoja za kitoto na hila za kifadhuli.

Narudi......
 
mbona mwezi upo kamili na hakuna vipande viwili vya mwezi?
nipe andiko la mwanahistoria au mwandishi aliyeandika tukio la mwezi kupasuka vipande viwili
Kuhusu ushahidi upo mwingi sana. Rejea Musnad ya Imam Ibn Ahmad,rejea Sahihi muslim na sahihi al Bukhari,kadhalika rejea vitabu vya Tafsiri ila kwa haraka haraka rejea Tafsiri ya imamu Ibn Kathiir Allah amrehemu.
 
Leta reference mkuu na Sisi tusome jinsi ulivyopasuka vipande vipande mkuu ntashukuru sana
Reference zipo bro nimeshamtajia alie uliza swali na wewe naomba unipe ushahidi kupinga kwamba huo sio muujiza na hilo jambo halikuwa kuwepo. Yaani wewe umepata wapi hayo maneno ?

Kisha,muache kuokoteza maneno,muwe mnasoma hasa.

Nasubiri ushahidi toka kwako.
 
Kuhusu ushahidi upo mwingi sana. Rejea Musnad ya Imam Ibn Ahmad,rejea Sahihi muslim na sahihi al Bukhari,kadhalika rejea vitabu vya Tafsiri ila kwa haraka haraka rejea Tafsiri ya imamu Ibn Kathiir Allah amrehemu.
Leta mistari mkuu utusaidie hayo marejeo yanasemaje na tuone jinsi alivyoupasua mwezi na kwa sababu gani mkuu. Asante
 
Huo utoto siufanyi bro hata mara moja kama mmezoea maneno ya vijiweni na ujuaji mwingi ndio mjifunze kwamba kuna mambo ya kielimu na kuna ujinga ujinga wenu wa kuparamia mambo pasi ns elimu. Nimekupa muongozo muongozo wa kielimu baada ya wewe kutaka marejeo sana unataka yena nikupe na mistari,hivyo ni vitabu vitafute usome mwenyewe kama nyinyi kweli ni wasomaji na mnataka kujifunza.

Msicheze na akili za watu na utoto mwingi katika mambo ya kielimu.

Nipo.......
 
Mkuu mi ninemomba reference mkuu nisaidie nijifunze kitu
Sasa kama jambo ulikuwa hulijui kwanini ulikuwa unaleta ushabiki wa kitoto na kudandia mambo usio yajua ?

Kasome vitabu hivyo nilivyokutajia. Mjifunze adabu za elimu na adabu za kujadiliana.
 
Mkuu utakuwa umeniquote vibaya mi nataka nijifunze wewe unaruka ruka kama bisi mkuu utakuwa unadanganya kama unajiamini weka hapa hizo aya mkuu lasivyo hii umetunga
 
Hujathibitisha hilo. Huu ndio ubaya wa kucopy mambo bila kuelewa mambo na kuyasoma kwa undani.

Tukio lilitokea zama za mtume Muhammad baada ya kuombwa na watu wa Makka afanye muujiza. Mwezi ulishuka kisha ukapasuka vipande kiasi ambacho kwa uwazi ule walikuwa wanauona mlima wa Hira,kwa mapokezi mengine yamepokelewa yakisema kipande kimoja kilikuwa kwake mbali na kipande kingine,kisha ukarudi katika hali yake ya kawaida.

Pili,muujiza hufanywa na Allah na mitume wake na manabii aliowateua ila kwa wachaji Allah ambao tunawaita Mawalii hawa huwa wanakuwa na karama kutenda mambo yasiyo ya kawaida. Hii nimekupa faida na kuna mawalii wa Allah na mawalii wa Shetani.

Lakini hitimisho lako la kuwa kisa ulipasuka na mbona uko mmoja kufikiri huku ni kufikiri kitoto na kukosa maarifa ya ndani,ule ulikuwa ni muujiza na mwezi uko mmoja,kawaida jambo lilitakiwa lifanyike kisha lirudi katika hali yake ya awali na hivi ndivyo walitaka iwe watu wa Makka ili wapate kumuamini mtume wa Allah amani iwe juu yake,kwahiyo jambo likafanyika kama walivyotaka kisha mwezi ukarudi katika hali yake ya kawaida.

Mkiamua kusoma msome kweli. Msitupotezee muda kwa hoja za kitoto na hila za kifadhuli.

Narudi......
alfu lela ulela
niambie wanahistoria au mwandishi wa kipindi hicho aliyeandika kuhusu tukio hili
*usinipe ushahidi wa quran sababu mwandishi ni huyo huyo mohamed,anaweza kutunga chochote
 
Kuhusu ushahidi upo mwingi sana. Rejea Musnad ya Imam Ibn Ahmad,rejea Sahihi muslim na sahihi al Bukhari,kadhalika rejea vitabu vya Tafsiri ila kwa haraka haraka rejea Tafsiri ya imamu Ibn Kathiir Allah amrehemu.
hadith ni extension ya quran tu
nipe ushahidi wa waandishi/historians walioandika kuhusu hilo tukio
 
Ndio maana bro nikasema hujui unachokiandika au kukisema. Kwanini msiwe mna kaa kimya.

Katika hadithi unapata kila kitu bro. Sasa usitake kulazimisha vitu usivyovijua kwa ujinga wako.

Soma votabu nikivyokupa utapata kila kitu.

Unavyosema nikupe ushahidi wa maandishi kwani hadithi sio maandishi ?

Hadithi zinaelezea Qur'an,zinaelezea matukio,zinaelezea bishara,zinaelezea jinsi ya kuishi na watu na mengine kadhalika.

Sasa mjifunze kufanya utafiti na kutenga muda,soma marejeo niliyokupa mzee utabainikiwa na kila kitu,usipoteze muda.

Mathalani naweza kukuuliza umesoma vitabu vya historia ya uislama na waislamu wenyewe bila kukuta nukuu za hadithi ?

Kadhalika inaonekana hujui nini maana ya hadithi.

Someni wadau tena msome hasa.

Nasubiri hoja nyingine ya msingi.
 
tuishie hapa
unaniletea hadith za mtume!!!!!
maandishi yaliyoandikwa na wale wale tu
huna ushahidi zaidi ya kuzunguka kwenye vitabu vyako vya dini
 
Back
Top Bottom