Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Ndio maana Mungu aliona Bible haijakamilika akaleta Qur'an, yote ya nini kuangaika na mavitabu lukuki wakati Quran ime summarize
 
Mkuu mitale na midimu nimesoma hoja yako na nimeielewa ila labda ungenisaidia kujibu haya maswali ili tuwe page moja

1. Je kama waandishi wa Biblia waliquote baadhi ya vitabu ambavyo leo hii havitambuliki na kanisa.... Sisi je tukiwaiga na kujengea hoja kupitia hivyo vitabu tutakuwa sahihi??

2. Niliuliza pia kwamba kuna baadhi ya vitabu nilivyotaja hapo juu vinatambulika kama LOST BOOKS OF THE BIBLE.... Ikimaanisha vilikuwa halali toka enzi za kina Daudi ila VILIPOTEA... Sasa swali linakuja je ina maana Biblia haipo complete sababu kuna baadhi ya script zilipotea?? Na pia nini hatma ya Biblia kama maneno ya Mungu ilihali yanaweza kupotea??

3. Pia nimeuliza kama Vitabu hivyo vilikuwa quoted na waandishi wa Biblia je ni kwanini havipo kwenye Biblia?? Na kama havipo ina maana sio halali sisi kutumia?? Na kama sio halali je kivp mitume walivitumia??

Natanguliza shukrani zangu
1:Kwa maoni yangu, hakuna anayezuiwa kucopy chochote popote ikiwa kitaboresha ukweli mkuu unaofundishwa na bibilia.
Ndio maana bibilia inasema '' Neno la manabii huwatii manabii''. Ikimaanisha Alichokisema Isaya hawezi kuibuka Yohana akakipinga. Na kwa bibilia hiyo kesi haipo,
Hivyo Kuquote au kuchukua maneno kutoka katika vyanzo vingine haivihalalishi isipokuwa '' niñi kilichoquotiwa na kwa madhumuni yapi, na Je! kinakinzana na ukweli mkuu wa bibilia''.
Nimekupa mfano, pale mlimani mars, Paulo aliquote maandishi ya kipagani huko athene '' tunamwabudu Mungu tusiyemfahamu'' na akatumia hiyo quote kuwaelekeza kwa Mungu anayejulikana. Haimaanishi sasa, Kuanzia hapo vitabu vya kichawi vya kigiriki viingizwe kwenye bibilia. La hasha.

2: Siamini kuwa akiibuka mtu akasema kuna kitabu cha bibilia kimepotea basi hiyo kauli yake ni kweli. hayo ni maoni tu yasiyo na uthibitisho wowote labda kama unaweza kujikita zaidi. Kitabu kuzungumziwa haikifanyi kuwa ulikuwa mpango kiwe sehemu ya bibilia. Lkn pia mkuu Bibilia inasema mfano stori zote za Yesu tu, zingeandikwa dunia ingebidi iwe karatasi na miti kalamu.
Kuna mambo mengi yqmeachwa yasiwe sehemu ya ujumbe kwa mwanadamu. Ndio maana huoni hata kama Yesu alienda haja ndogo mahala popote, haimaanishi alikuwa haendi. na ni lazima uandikiwe. Yaliyoandikwa yanatosha kabisa kuhekimisha, kuadilisha,kuonya na kumfanya mtu wa Mungu awe mkamilifu katika Yesu.

3: Hii nadhani nimekusia huko juu. Lakini ninaamini kuna mavitabu mengi fake ambayo yamekuwa backdated na kuhusianishwa na bibilia lkn ni hadithi za kutunga. Mfano Injili ya Barnaba yenye aya zaidi ya 100.
Lkni pia siamini kama Yuda amemquote huyo Enock, Kitabu cha enock hakina uthibitisho wa kushiba kama ni kweli ndiye enock yule au la. Na mambo yake mengi kwa kidogo nilivyopitia yanakinzana wazi na bibilia na ni stori nyingi tena nyingine za ajabu kabisa. Cha ajabu hata hollywood wanavitumia kutunga movie badala ya bibilia.

Mwisho
Hata mimi nasoma kila kitabu, mfano hapa ninakitabu kinahusu uchawi wa Misri, kuna morals and dogma, Kuna mengine mengi nikipata mambo ya kuwaimarishia watu nitaquote haimaanishi mavitabu hayo yatakuwa sehemu ya bibilia kwa sababu tu nimequote.
Pia hakuna ushahidi wa kushiba kuwa hivyo unavyodai ni vitabu vilivyotupiliwa mbali kwenye bibilia au kuwa quoted au reference na hivi vinavyodaiwa ndio vyenyewe leo, mara sijui vimefichwa vya siri ndio hivyo orginal. Maana historia ya ukristo inaonyesha hapo alexandria wasomi wa kale waliandika mambo na mavitabu mengi ambayo yalikuwa na mchanganyiko wa ukweli na uongo na philosophy za kidunia ili kuhalalisha mambo yao.

maoni mkuu unaweza kuwa na changamoto nikiwa siwezi ntasema. Ila Bibilia kwangu mimi ni Final authority nje ya bibilia ni maoni tu ambayo ikiwa yatakinzana na bibilia nayaweka dustbin.
 
Always nasema humu hii mada ya nakuletea maelezo flani then badala ya kuyadiscuss unataka yatokee ndani ya biblia ndioyaonekane sahihi inafanya sometimes hizi mada za dini wengine tujiengue nazo!..
Mara nyingi nimekuwa nikikushauri ndugu yangu zitto junior hawa punda (wabeba maoni ya boss mmoja) wapotezee wakishaanza kukulimit reference lakini wewe ni moja ya watu mna uvumilivu nao!.
Big up!.
 
Imeandikwa na Muhammad akinukuu maneno ya Mungu
aliiandika lini mkuu. maana mimi ninafahamu hakuwahi kusema kiandikwe kitabu badala yake hadi anakufa hakikuwepo alitaka watu wakariri vichwani ''Quran'' . Ila huu mushaf uliandikwa kwa amri ya Caliph Uthman.

nilisikiliza lekcha flani nikapata hiyo elimu, ila kama kuna makosa unaweza kuniweka sawa.
 
1. Muhammad hakuwahi andika Quran!.
2. Alikuwa hajui kusoma wala kuandika!.
3. Iliandikwa na wafuasi wake!.
4. Baada ya kufa ndipo maandishi yakakusanywa!.
5. Ilipomaliza kuwekwa pamoja, zile andishi halisi zikachomwa!.
6. Vikazaliwa vitabu 9 (quran)!.
Nipinge kwa hoja!.
 
Mtume hakuwahi andika Quran, alikuwa anateremsha maneno kwa imla (anapandwa na mzuka/anawehuka kwa kiswahili kibovu).
 
Nyie ndo huwa mnaharibu mada nzuri za Zitto juniour ambazo huwa zinatufungua ubongo.
Nyie hizi zenu mnachokonoa mistari yenye maana tofauti kabisa na tafsiri zenu
acha kulialia tuambie maana ya hiyo mistari
muite na zitto aje akusaidie,ikiwezekana na papa francis kama wataweza
 
aliiandika lini mkuu. maana mimi ninafahamu hakuwahi kusema kiandikwe kitabu badala yake hadi anakufa hakikuwepo alitaka watu wakariri vichwani ''Quran'' . Ila huu mushaf uliandikwa kwa amri ya Caliph Uthman.

nilisikiliza lekcha flani nikapata hiyo elimu, ila kama kuna makosa unaweza kuniweka sawa.
Hakuandika yeye moja kwa moja ila ni mpokeaji ambapo aliwalisha wafuasi wake ambapo baadae walikusanya na kuwa kitabu kamili
1. Muhammad hakuwahi andika Quran!.
2. Alikuwa hajui kusoma wala kuandika!.
3. Iliandikwa na wafuasi wake!.
4. Baada ya kufa ndipo maandishi yakakusanywa!.
5. Ilipomaliza kuwekwa pamoja, zile andishi halisi zikachomwa!.
6. Vikazaliwa vitabu 9 (quran)!.
Nipinge kwa hoja!.
Hakuna alietia moto maneno ya Mungu ni yaleyale waliyokusanya maswahaba, hivyo vitabu 9 ndio vya upotoshaji lakini Qur'an kamili ndio hii tunayoisoma

kahtaan / kahtaan
 
Hakuandika yeye moja kwa moja ila ni mpokeaji ambapo aliwalisha wafuasi wake ambapo baadae walikusanya na kuwa kitabu kamiliHakuna alietia moto maneno ya Mungu ni yaleyale waliyokusanya maswahaba, hivyo vitabu 9 ndio vya upotoshaji lakini Qur'an kamili ndio hii tunayoisoma

kahtaan / kahtaan
1. Nashukuru tumekubaliana hakuandika.
2. Vitabu 9 ni Quran moja iliyoandikwa mara 9 (hakukuwa na photocopy machine) ili waandishi wake waweze sambaza pande tofauti za dunia!.
3. Unaweza nipa kidogo tu historia ya Quran as Kitabu chake cha kwanza kabisa kilipatikanaje!?🙂.
 
Ahaa kumbe ni Qur'an ileile iliandikwa Mara 9 sawa, kwa hiyo maneno ya Mungu kupitia Muhammad hayakupotea na ndio haya tunayoyapata sasa

3. Kitabu cha kwanza kilipatikana baada ya aya zote kukamilika na kutengenezwa kitabu kimoja hiyo ni kwa ufupi sina hadithi za kale jinsi walivyokusanya
 
Hakuandika yeye moja kwa moja ila ni mpokeaji ambapo aliwalisha wafuasi wake ambapo baadae walikusanya na kuwa kitabu kamiliHakuna alietia moto maneno ya Mungu ni yaleyale waliyokusanya maswahaba, hivyo vitabu 9 ndio vya upotoshaji lakini Qur'an kamili ndio hii tunayoisoma

kahtaan / kahtaan
Naishia hapa, maana ni nje ya kilichopo mezani. Ubarikiwe
 
Ahaa kumbe ni Qur'an ileile iliandikwa Mara 9 sawa, kwa hiyo maneno ya Mungu kupitia Muhammad hayakupotea na ndio haya tunayoyapata sasa

3. Kitabu cha kwanza kilipatikana baada ya aya zote kukamilika na kutengenezwa kitabu kimoja hiyo ni kwa ufupi sina hadithi za kale jinsi walivyokusanya
Nice!, tuishie hapa uzi usije pelekwa Jukwaa la Dini.
 
Mmmmhh

Ndg,kama hujui,basi usilazimishe ushujaa usiokuwa nao

Quraan,imeandikwa na Mtume wa Allah yupo hai,mpaka imekamilika.
1. Muhammad hakuwahi andika Quran!.
2. Alikuwa hajui kusoma wala kuandika!.
3. Iliandikwa na wafuasi wake!.
4. Baada ya kufa ndipo maandishi yakakusanywa!.
5. Ilipomaliza kuwekwa pamoja, zile andishi halisi zikachomwa!.
6. Vikazaliwa vitabu 9 (quran)!.
Nipinge kwa hoja!.
 
1:Kwa maoni yangu, hakuna anayezuiwa kucopy chochote popote ikiwa kitaboresha ukweli mkuu unaofundishwa na bibilia.
Ndio maana bibilia inasema '' Neno la manabii huwatii manabii''. Ikimaanisha Alichokisema Isaya hawezi kuibuka Yohana akakipinga.
Hivyo Kuquote au kuchukua maneno kutoka katika vyanzo vingine haivihalalishi isipokuwa '' niñi kilichoquotiwa na kwa madhumuni yapi, na Je! kinakinzana na ukweli mkuu wa bibilia''.
Nimekupa mfano, pale mlimani mars, Paulo aliquote maandishi ya kipagani huko athene '' tunamwabudu Mungu tusiyemfahamu'' na akatumia hiyo quote kuwaelekeza kwa Mungu anayejulikana. Haimaanishi sasa, Kuanzia hapo vitabu vya kichawi vya kigiriki viingizwe kwenye bibilia. La hasha.

2: Siamini kuwa akiibuka mtu akasema kuna kitabu cha bibilia kimepotea basi hiyo kauli yake ni kweli. hayo ni maoni tu yasiyo na uthibitisho wowote labda kama unaweza kujikita zaidi. Kitabu kuzungumziwa haikifanyi kuwa ulikuwa mpango kiwe sehemu ya bibilia. Lkn pia mkuu Bibilia inasema mfano stori zote za Yesu tu, zingeandikwa dunia ingebidi iwe karatasi na miti kalamu.
Kuna mambo mengi yqmeachwa yasiwe sehemu ya ujumbe kwa mwanadamu. Ndio maana huoni hata kama Yesu alienda haja ndogo mahala popote, haimaanishi alikuwa haendi. na ni lazima uandikiwe. Yaliyoandikwa yanatosha kabisa kuhekimisha, kuadihisha,kuonya na kumfanya mtu wa Mungu awe mkamilifu katika Yesu.

3: Hii nadhani nimekusia huko juu. Lakini ninaamini kuna mavitabu mengi fake ambayo yamekuwa backdated na kuhusianishwa na bibilia lkn ni hadithi za kutunga. Mfano Injili ya Barnaba yenye haya zaidi ya 100.
Lkni pia siamini kama Yuda amemquote huyo Enock, Kitabu cha enock hakina uthibitisho wa kushiba kama ni kweli ndiye enock yule au la. Na mambo yake mengi kwa kidogo nilivyopitia yanakinzana wazi na bibilia na ni stori nyingi tena nyingine za ajabu kabisa. Cha ajabu hata hollywood wanavitumia kutunga movie badala ya bibilia.

Mwisho
Hata mimi nasoma kila kitabu, mfano hapa ninakitabu kinahusu uchawi wa Misri, kuna morals and dogma, Kuna mengine mengi nikipata mambo ya kuwaimarishia watu nitaquote haimaanishi mavitabu hayo yatakuwa sehemu ya bibilia kwa sababu tu nimequote.
Pia hakuna ushahidi wa kushiba kuwa hivyo unavyodai ni vitabu vilivyotupiliwa mbali kwenye bibilia au kuwa quoted au reference na hivi vinavyodaiwa ndio vyenyewe leo, mara sijui vimefichwa vya siri ndio hivyo orginal. Maana historia ya ukristo inaonyesha hapo alexandria wasomi wa kale waliandika mambo na mavitabu mengi ambayo yalikuwa na mchanganyiko wa ukweli na uongo na philosophy za kidunia ili kuhalalisha mambo yao.

maoni mkuu unaweza kuwa na changamoto nikiwa siwezi ntasema. Ila Bibilia kwangu mimi ni Final authority nje ya bibilia ni maoni tu ambayo ikiwa yatakinzana na bibilia nayaweka dustbin.
Mkuu unaakili sana! Ubarikiwe zaidi.
 
kwani kwenye huo mkutano wa Nicea walitaja sababu ya kuviita hivyo vitabu kuwa ni apokrifa??
 
Mmmmhh

Ndg,kama hujui,basi usilazimishe ushujaa usiokuwa nao

Quraan,imeandikwa na Mtume wa Allah yupo hai,mpaka imekamilika.
Mtume wa Allah as Muhammad SAW!?..
Sihitaji ushujaa nahitaji hoja!.
Niprove wrong!.
 
Back
Top Bottom