Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

shukran sheikh
kuhusu jua kuzunguka itabidi ulete ushahidi zaidi
mengine umezungumzia imani zaidi,meli zinaelea sababu ya buoyancy
kuhusu mbingu kudondoka hapa sikuelewi,kule juu kuna nyota na sayari nyingine nyingi tu,labda nifafanulie maana ya neno mbingu

nitarudikwa maswali mengine,ila nisaidie kwanza hapa
mohamed alipasua mwezi vipande viwili?
kabla ya uislam mohamed alikuwa anaabudu nini
 
upo sahihi ila biblia imeenda mbele zaidi na kuelezea yesu alizaliwa wakati wa utawala gani
tatizo ni kwamba biblia imejichanganya kwa kuonyesha yesu alizaliwa wakati wa tawala mbili tofauti
soma luka 2 na mathayo 2
 
upo sahihi ila biblia imeenda mbele zaidi na kuelezea yesu alizaliwa wakati wa utawala gani
tatizo ni kwamba biblia imejichanganya kwa kuonyesha yesu alizaliwa wakati wa tawala mbili tofauti
soma luka 2 na mathayo 2
Mkuu Nyabhingi, ungekua unatoa na hayo maandishi, wengine tunavyokua tunachangia hua tupo mbali na Biblia, I take it as a homework, will do it nitakapokua karibu na Biblia. Naomba usiniulize, why sina Biblia kwenye simu? Joke
 
Mkuu hapo kea farao hiyo context haiendani kabisaa. Mtu hawezi kumrudia Mungu kisha itamkwe amekufa. Kuifia dhambi haiko ktk context hii. Kuifia dhambi ni pale ambapo Mungu amekuwezesha baada ya kumuomba na kumtumikia sana kiasi fulani dhambi fulani hata ile ndogo siyo zote, yaani ile inayomuotea mtu kwa haraka hafanyi. Mfano kama mwanamume akiifia dhambi ya uzinzi hawezi mtamani kingono asiye mkewe. Au kama ni mwanamke dhambi ya usengenyaji haitendi. Hii hutokea pale mtu huyo anpokuwa ushuhuda uishio ili awe mfano wa kuwavuta wengi kumjua Mungu.
Mfano; kuna baadhi ya wachungaji, au watu wanaomtumikia Mungu kwa nafasi mbalimabli hutosikia kuhusishwa na uzinzi, rushwa, matumizi mabaya ya sadaka au kuzushiwa utapeli hawa tunaweza sema hizo dhambi wamezifia yaani kwao hakuna tena kurudi nyuma. Wengine siyo wazinzi lakini ana matumizi mabaya ya fedha ina maana ktk hiyo sehemu bado hajaifia dhambi.
 
Dah unaonekana una sumu nyingi sana hahaaa
 
Nimemwambia anakurupuka kabisha. Mimi kanibandika ukristo nikamjibu kuwa hiyo si dini yangu. Sasa hivi kahamia kwako
Jamaa kazi kushambulia imani za watu ila hiyo imani yake anaogopa kuiweka hapa kujadiliwa,anakwambia ana elimu ya vitabu vyote hivyo viwili na analeta hoja humu kupitia hivyo vitabu ila ukimuuliza maswali anakwambia uwaulize wenye kuamini hivyo vitabu.
 
Vizuri kama unayo elimu ya Qur'an na Biblia.

Sasa mbona nilipokuwa nakuuliza maswali kuhusu jua kuzama kwenye sijui bwawa la maji ulikuwa unasema niwaulize waislamu wakati wewe una elimu ya Qur'an?
hukuwa sincere kwenye uulizaji wako
 
Ningeomba Moderator wote wa JamiiForums msihamishe uzi huu kupeleka jukwaa la dini maana message najibu mada ya JF intelligence hivyo ningependa ujumbe uwafikie walengwa, natanguliza shukrani kwa ushirikiano wenu

Cc Paw Invisible
Vipi kuhusu injili ya barnaba je unaweza kukichukua Kama reference kwako Kama kitabu kilichokataliwa kuingia kwenye biblia ila wewe kikawa na mashiko kwako?
 
Hicho kitabu cha Gadi kinapatikana wapi mkuu?
 
That giant flaming star in the sky does rotate, but moves at a much slower pace than the Earth.

It takes 24 hours for the Earth to make a full rotation, but since the sun isn't a solid object like a planet, its rotation is harder to pinpoint.

Advertisement

"Since the sun is a ball of gas/plasma, it does not have to rotate rigidly like the solid planets and moons do," according to NASA.

In fact, our gaseous sun is divided into different zones and layers, with each of our host star's regions moving at varying speeds. On average, the sun rotates on its axis once every 27 days. However, its equator spins the fastest and takes about 24 days to rotate, while the poles take more than 30 days. The inner parts of the sun also spin faster than the outer layers, according to NASA.

Hiyo hapo riport ya Nasa walipubkish 2010 lakin uguduzi wa hili ukishafika miaka ya nyuma na wamasayans wengi ila ulikuwa bado haujathibishwa laki. Sisi tulifundishwa shule jua limekaa stationary halizunguki...ila Quran inasma jua linazunguka kwemye orbit yake..!

Nikijibu katika hoja yako ya maji kuelea nataka ujue kuwa maumbile yote ya kidunia na mazingira yote anaoyishi mwanadamu na viumbe wengine vipo calulated kisayans wana sayans wanasema dunia hii tunaishi ingesogea Kilomita 10 tu kusogolea jua kusingekuwa na maisha na pia ingesogea km 10 nje ya orbit yake mbali ya jua kusingekuwa na maisha vipimo vyote vya hydrogen na oxgyen vinavyohitajika ili maisha ku exist vipo kwa kiwango ambacho ingezig au kupugua kusingeweza kuwa na maisha kila kitu had Gravity iliyopo yote ni mazigira yaliyoandaliwa ili sisi tuish sababu Mungu alituumba sisi aktupa akili alijua tutatafiti na yeye katufunulia tuyaone ili wewe akiki yako iclick kuwa haya yupo mwenyw kuyapangilia hivi haiwez kuwa kwa coinsdence so na yey anakuwa anaweka refeeence za kisayans ambazo ilikuwa kugundulika kwa mwanadamu wa karne ili wewe akiki yako istuke ndio maana leo uislam unaena kwa kasi america na ulaya sababu wale wame advance kwenye sayansi na ukija ukiowaonesha hiz fact wanashangaa kama zinaweza kuwepo kwenye Quran kitabu kimeandika miaka 1440 iliyopita..!

So meli kuelea ni katika mazingira aliyatayarisha ili binadamu aweze kuyamud so anachokikumbusha yeye hiyo ni katika ishara angelitaka isingekuwa hivyo kuonesha power yake.!

Mbingu ni kila kitu kilichopo nje ya dunia yetu ila dunia yetu ipo cover na layer saba amabazo zinakinga dunia na mwanga wa jua kama hufahamu mwanga wa jua tunao upata sisi ni mwanga salama miale mingi ya jua ina utilized kabla haijafika ndani kwa ajili ya matumiz again hilo linatakiwa ku click akili yako kuwa yipo aliyeandaa hayo na kuweka hizo kinga zote za miala ya jua..!

Muhhamad aliishi katika mila na destruri za Nabii ibrahim za kuamin Mungu mmoja na wala hakuwahi kujihusisha na ibada za masanamu sababu ndio ilikuwa ibada kuu makka na pili kutokana na kutokujihusisha kwake na iman hiz na hakuwa nq makundi hiyo ilimpelekea watu wa makka kumuamin hadvakawa mtunza aman zq watu sababu ta uwaminifu alikuwa nao...na la tatu muhamad Allah alikuwa anamuongoza tangu akiwa mdogo ndio maana alipoenfa kwa yule mfalme aliyukuwa amaweka sanamu mlangoni na ukiingia lazima uiname unalisamilia sanamu lakin lakin muhamad akiwa na miaka 12 alipofika sanamu likadondoka chin ndio akapita na yuke mfalme akaawaambia wale ndungu zake wakubwa kuwa huyu ndio kiongozi wenu wa msafara...na pia kuna mchungaji aliitwa bahira aimuambia babu yake mtunze sana na umlinde huyu kijana atakuwa ni mtume huyu sababu ishara zake walizokuwa wanaziona watu kwake.!
 
https://www.quora.com/How-authentic
 
Ishmael is not the Father of Muhammad
 
nimeyaona maelezo yako kuhusu kuzunguka kwa jua na source uliyoweka,nitajaribu kwenda kuconfirm sababu sijawahi kujua kuwa jua linazunguka

kuhusu layer saba hapa unaongelea vitu vya kufikirika

hujanijibu kuhusu mohamed ibn abdulah kupasua mwezi vipande viwili

kuhusu mila na desturi za ibrahim,kwa hiyo mohamed alikuwa anafuata mila za wayahudi?,maana ndio walikuwa na kitabu
 
Hivi hicho kitabu kilishushwa eeeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…