Ungewatia vitasa. Hivi uchawi una faida gani?
Eti mshana jnr kwani wachawi wanafaidika nini na uchawi wao. Kuua watoto wao, kutembea usiku....huwa wanapata nini, na je ni kwa nini huwa hawaachi?
UDI unaalika nguvu nyingine za kiroho, mchawi hapendi,..., mkojo wa janaba ni uchafu unakinzana na nguvu za kichawi.. Mkojo wa janaba ni ule mkojo baada ya kufanya ngono.... Panga ukilipiga kwa ubapa ukutani linatoa sauti kubwa.. Wao kilichowastua ni sauti