Bibi Tina wa Mwananyamala


Aisee mlikua wajasiri sana!!
 
Huyu wajina wake alipata wapi ujasiri wa kuwa mbishi wakati mshiko umekata?
 
Usilale bila kusali
 
Mshana hili jina bibi Tina sio ngeni kwangu,anasali wapi huyu bibi?
 
Mkuu mbona unajiquat mwenyewe?
 
Nimependa pambio lako la kishambenga la "hapa ndipo mambo yakawa motoooo"
 
Hapo unaongelea usafiri... Wakitaka kwenda popote wanaenda tuu yanini kujaza mavyuma nyumbani
Hahaa! !
Kama ndiyo hivyo hata mzee Majambo njee muuza karanga maarufu enzi hizo hapo mwananyamala atakuwa amesafirishwa kichawi mpaka ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…