Bibi Tina wa Mwananyamala

...........samahani mkuu,unaposema "mkojo wa janaba" unamaana gani!?huwa nasikia janaba janaba hiki ni kitu gani,kinafananaje?
 
Mkuu Mshana ,nilifikiri nipo kwenye kikome na babu, ananisimulia hadithi, "very interesting "

Mkuu swali! Mkojo wa janaba ukoje?
,nijuze!
 
Kanikera sana na akiendelea nitampelekea motofire bila dawa ya jicho
, Mkuu dunia imejaa watu na vitu inabidi tuvumiliane tu wakati mwingine, huenda umejibiwa na kitu.
Alafu kesho nitaomba nikutafute chamber katika ushauri au solution, kuna issue ni vumbi kidogo.
 
, Mkuu dunia imejaa watu na vitu inabidi tuvumiliane tu wakati mwingine, huenda umejibiwa na kitu.
Alafu kesho nitaomba nikutafute chamber katika ushauri au solution, kuna issue ni vumbi kidogo.
Karibu sana pm usijali kaniudhi halafu nikaudhika.. Wee mwache aendelee anachokitafuta atakipata
 
Unaandika haya ukiwa kwako bila kujua Mwananyamala iko wapi na wala bila kujisumbua kufika eneo husika ili kubainisha uongo wangu wa story za kusadikika...
Tatizo hajawahi kaa dar uswahili. Nakumbuka kigogo luhanga kulikua na wachawi 10 wanajulikana na kila mtu yani mpaka tunafika umri huu WA karibia 30 ni mipango ya mungu maana tumecheza sana nyumba za wanga. Kuna mmoja ndo alikua anaogopeka hata kumuangalia unatetemeka sijui atakuwa haï bibi ngaya muuza maandazi,mama jamali muuza chapati na bibi Amiri muuza vitumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…