Bibi Tina wa Mwananyamala

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Kweli mtu unaomba kurogwa? Makubwa kabisa haya.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Kweli mtu unaomba kurogwa? Makubwa kabisa haya.
Sio mimi, tatizo vyuma[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] sili ya bure tatizo vyuma, kwano ukiniroga nitakuwa nailipia?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hivi kwa nini hivi visa vya wanga na wachawi vinaripotiwa na kutokea uswahilini na kwa watu wa vipato duni? Mbona hatujawahi kuvisikia maeneo ya Masaki, Mikocheni au Upanga?

Vv
 
Hayo hufanyika kwenye shithole countries tu na huko ndipo umasikini, maradhi na ujinga vimetamalaki.

Vv
 
Mshana kwenye uandishi tu unajua yan hua nasoma huku naombea story isiishe [emoji16][emoji16][emoji16] ni tag kwenye mwendelezo
 
Unaandika haya ukiwa kwako bila kujua Mwananyamala iko wapi na wala bila kujisumbua kufika eneo husika ili kubainisha uongo wangu wa story za kusadikika... You are so fucked up... You are just another stupid idiot
Tehehehehehehe [emoji23][emoji23][emoji23], mkuu kwa mara ya kwanza kuona umekereka na kurusha bomu la mkono.
 
Alitaka akuchezee Kumbe hakujua we mwenyewe ndio mchawi Mara laki moja zaidi yake,. Unitag basi mkuu muendelezo huo wa bibi Tina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…