Mkuu Mshana jr hapa mtaani wanga wanatusumbua sana nimejaribu kuweka bangi sebuleni na chumbani kwangu dirishani na mlangoni, kupaka kitunguu swaum na mafuta ya mzeituni kwa kitanda changu ila wapi, ni tabu na masumbuko tu.
Je ni utaalamu gani ama vitu gani nichanganye ili wasinisumbue tena?