Bibi kizee mmoja alikwenda benki moja
maarufu sana hapa nchini ili kuweka fedha
zake. Alipofika mapokezi aliuliza."Naomba
kumwona meneja mkuu wa benki
hii"Mfanyakazi wa mapokezi
akamuuliza,"Unataka kumuona kwa shida
gani?""Nataka kufungua akaunti" akajibu
bibi"Akaunti inafunguliwa hapa hapa
mapokezi, sio kwa meneja" akajibu mtu
wa mapokezi."Mimi nataka kufungua
akaunti ofisini kwa meneja maana nina
pesa nyingi sana hapa" akasisitiza yule
bibi kizee"Hata hapa unawezxa kufungua
kwa pesa hizo zote na zitakuwa kwenye
usalama tu"" Kama hutaki kunuruhusu
kufungulia kwa meneja, basi nakwenda
kufungua kwenye benki nyingine" akasema
bibi huku akiwa amechukia.Kuona hivyo,
mfanyakazi wa mapokezi akaamua
kumpeleka kwa meneja."Kwa nini
mmeshindwa kumfungulia akaunti huko
mapokezi" akauliza meneja"Amesema
lazima afungulie kwako na nilipomsisitiza
afungulie mapokezi alitaka kuondoka"Basi
meneja akaamua amfungulie yeye
akaunti. Bibi akazitoa pesa, zilikuwa
shilingi
milioni kumi taslimu! hadi meneja
akashangaa na kumuuliza,"Bibi
inaonekana pesa hizi umezidunduliza kwa
muda mrefu sana ee""Hapana,
nimezipata juzi juzi
tu""Umezipataje?""Kwa kupinga na
mtu""Kweli? kupinga tu hadi ukapata pesa
zote hizo?""Yaah, nimepinga tu. Tena hata
na wewe tunaweza kupinga tu""Ehe,
tunaweza kupinga vipi" akauliza meneja
kwa udadisi."Kwa mfano, tunaweza
kupinga kuwa kesho saa kama hizi,
pumbu zako zitakuwa za square yaani
pembe nne. Kama zikiwa hivyo, wewe
utanipa milioni kumi na zisipobadilika
mimi nitakupa hizo zangu"Meneja kusikia
hivyo, akakubali mara moja na wakapinga.
Bibi kizee akaondoka. Meneja alibaki
akiwa na wasiwasi sana , hadi alipotoka
ofisini kila mara alikuwa anazishika
pumbu zake kuona kama zimebadilika.
Hadi siku iliyofuata asubuhi bado pumbu
zake zilikuwa kama kawaida.Saa nne
asubuhi bibi kizee alifika benkikwa meneja
akiwa ameongozana na jamaa mmoja
nyuma yake."Ehe naona bibi umekuja"
meneja akasema huku akiwa na
wasiwasi. Mara moja akatoka kwenda
chooni kuhakikisha kama pumbu zake
ziko sawasawa. Akakuta hazijabadilika,
akarudi mara moja ofisini kwake."Haya
bibi, pumbu zangu hazijabadilika, ehe, si
unaona ziko sawasawa? nimekushinda!"
akasema meneja kwa kutamba. Bibi kizee
akamsogelea meneja na kumwambia kwa
sauti ya chini chini."Sawa baba lakini mimi
nitahakikishaje?""Njoo tu uzishike"
akasema meneja."Sawa lakini lazima
uvue suruali nizishike pumbu zako
nihakikishe" alisema bibi.Meneja akavua
suruali na bibi kizee akaanza kuzichezea
pumbu zake.Wakati akiendelea
kuzichezea (zilikuwa hazijabadilika) yule
mtu aliyeongozana na bibi alikuwa
anajibamiza ukutani kwa nyuma. Meneja
akashangaa na kumuuliza bibi."Mbona
huyo jamaa uliyekuja naye anajibamiza
ukutani? huoni ataumia?""Heh he heee!
huyo KALIWA!!" alisema bibi na kuendelea,
"Nilipinga naye jana kuwa leo hii saa nne
nitakuwa nazichezea pumbu za meneja
wa benki kubwa hapa nchini, akakataa eti
siwezi. Tulipinga
shilingi MILIONI ISHIRINI! hivi anakwenda
kuzitoa baba!"Meneja akachukua milioni
kumi na bibi akapata milioni ishirini! ha ha
haaa ahaaaaa™