Bibi harusi atembea na Wanaume wawili kwa mpigo

Bibi harusi atembea na Wanaume wawili kwa mpigo

Jamaa anamuita mke wangu bebi
Nlimwambia mwanzo Huyo ni mke wangu akaomba msamaha Sasa naona anarudia tena
Unajua Kuna watu tunawaheshimu hapa jukwaani
Mtu ukiwa kimya wanajua Huyo Mjinga

Nmemwambia Tusilaumiane
Ila wewe jamaa utakuwa unanichnganya.
Mimi sijawahi kutongoza mwanamke hapa JF zaidi tu ya salamu huku jukwaani.
Acha povu kuwa na amani .
 
Mkuu tunakuheshimu Sana hapa jukwaani
Kujiunga 2015 haimaanishi ndiyo Mara yakwanza kuijua jf hii ni ID mpya
Narudia tena Tusilaumiane
Imefika hatua hadi unatongoza mke wangu

Kuna siku nlikuambia uache ukaacha Kwa muda Sasa unarudia tena

Usione watu wapo kimya ukajua ni ujinga nikiamua nakupata dakika sifur haujajificha kwenye keyboard Bado upo uchi

Achana na mke wangu kumuita bebi
Daah...!

Halafu mwambie wife nayeye akiitwa hivyo asiitike
 
Ok sawa kaka sijakuchanganya ni hii hii Id yako
Kuheshimiana ni Kitu kizur Sana especially kwenye Mali za watu

We sema povu no problem Huwa napenda kuwa muwaz tuu
Wewe bwana Mimi sikuamini, mwambie mkeo aniblock.
Kwa sababu Mimi simjui
 
Hizi kesi ziko nyingi sana,niliwahi kuwa na rafiki yangu mmoja,yeye siku ya kuamkia ndoa yake alilala kwa mwanamke mwingine,akaondoka asubuhi,na jioni akafunga ndoa na mwanmke mwingine....
 
Hizi kesi ziko nyingi sana,niliwahi kuwa na rafiki yangu mmoja,yeye siku ya kuamkia ndoa yake alilala kwa mwanamke mwingine,akaondoka asubuhi,na jioni akafunga ndoa na mwanmke mwingine....
NI sheedah
 
Dada we acha tu siku moja kabla ya ndoa yangu na ambaye ndio Mme wangu sasa, nilienda kufanya mapenzi na mwanaume mwingine ambaye nilikuwaga na mahusiano naye toka zamani.

Ilikuwa Ijumaa na alijua kabisa naenda kuolewa, akaniita na Jumamosi yake ndio ilikuwa harusi yangu

Siku ya harusi yetu, yule mwanaume alikuja amependeza sana na alileta zawadi na nilimtambulisha Kama miongoni mwa kaka zangu na washauri.

Hata baada ya harusi niliendelea kutoka naye kwa siri mpaka tulipohama kikazi na Mume wangu wa ndoa kwenda mkoa mwingine mbali na hadi Leo nikionana naye nahisi tu nitalala naye.

Jamani unamshaurije huyu bibi harusi?
Mashetani wanadamu wako wengi tu
 
Mdodose ni nini anachopata kwa huyo jamaa ambacho hapati kwa huyo mumewe kisha utuletee mrejesho, mumewe atampa bila shaka.
 
Back
Top Bottom