Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,569
Wa kushauriwa ni mumewe.
Mambo bebiHapo sasa
Ha ha ha ha haWaendelee tu kutembea hivyo hivyo mpaka watakapoamua kukimbia
Ni malaya tu kama malaya wengineDada we acha tu siku moja kabla ya ndoa yangu na ambaye ndio Mme wangu sasa, nilienda kufanya mapenzi na mwanaume mwingine ambaye nilikuwaga na mahusiano naye toka zamani.
Ilikuwa ijumaa na alijua kabisa naenda kuolewa, akaniita na jumamosi yake ndio ilikuwa harusi yangu
Siku ya harusi yetu, yule mwanaume alikuja amependeza sana na alileta zawadi na nilimtambulisha Kama miongoni mwa kaka zangu na washauri.
Hata baada ya harusi niliendelea kutoka naye kwa siri mpaka tulipohama kikazi na Mume wangu wa ndoa kwenda mkoa mwingine mbali na hadi Leo nikionana naye nahisi tu nitalala naye.
Jaman unamshaurije huyu biharusi!?
Poa mtakatifu Ivuga.habari ya sikuMambo bebi
Unamshaurije kwahiyo🚶🚶🚶Wa kushauriwa ni mumewe.
Karibu kwetu Dar😂😂😂Halikadharika na mume naye yuko hivyohivyo.so hakuna shida.wale waliojifanya ni mawifi wakati wa harusi ni wake wenzake
Karibu kwetu Dar🚶🚶🚶Kwanini alitaka kuolewa na mwingine!? Wanawake buana, siku moja kabla ya ndoa! Daah! Kalazimishwa kuolewa au? Si angesubiri tuu mpaka amalizane na huyo mchakataji wake!?
Asimpe mumewe magonjwa tuu.
Alexander
Vepe😂😂😂🙄🙄🙄🙄daaah!
Kiru 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Karibu kwetu Dar🚶🚶🚶UNACHOKISAKA UTAKIPATA
Akipeana atawezana😂😂😂
Wewe hapo
Aiseenamshauri aache upumbavu