🏃🏃🏃🏃🏃Mashetani wanadamu wako wengi tu
Mechi kaliMdodose ni nini anachopata kwa huyo jamaa ambacho hapati kwa huyo mumewe kisha utuletee mrejesho, mumewe atampa bila shaka.
Hata kwako NI normal sio?! 🚶🚶🚶Sijaona alipotembea na wanaume wawili kwa mpigo! Nachokiona tu ni kwamba kila mtu anakula kwa muda wake kitu ambacho ni normal kabisa sikuizi
[emoji51][emoji51] akaolewe naye, zero brainMechi kali
Ndoa ni mechi ATI, otherwise mtuache Kwa Baba zetu[emoji51][emoji51] akaolewe naye, zero brain
Sauwa atasikiaMwambie atulie kwenye ndoa yake maana anachokitafuta atakipata tu.
MZINZIDada we acha tu siku moja kabla ya ndoa yangu na ambaye ndio Mme wangu sasa, nilienda kufanya mapenzi na mwanaume mwingine ambaye nilikuwaga na mahusiano naye toka zamani.
Ilikuwa Ijumaa na alijua kabisa naenda kuolewa, akaniita na Jumamosi yake ndio ilikuwa harusi yangu
Siku ya harusi yetu, yule mwanaume alikuja amependeza sana na alileta zawadi na nilimtambulisha Kama miongoni mwa kaka zangu na washauri.
Hata baada ya harusi niliendelea kutoka naye kwa siri mpaka tulipohama kikazi na Mume wangu wa ndoa kwenda mkoa mwingine mbali na hadi Leo nikionana naye nahisi tu nitalala naye.
Jamani unamshaurije huyu bibi harusi?
Na wewe NI mwasherati?!🏃🏃🏃MZINZI
Mie nakula kwa macho naridhikaNa wewe NI mwasherati?![emoji125][emoji125][emoji125]
SauwaMie nakula kwa macho naridhika
Unakuta mdada anamiliki michepuko miwili, ila inahitaji roho ngumu sana , na sijui huo muda huwa wanautoa wapi!Sikuizi imekuwa kawaida sana!!
Na ukute huyo mwanamke aliye lala naye huenda kabla yake alilala kwa danga lake, ndiyo maana watu mnaoana lakini mikosi haiishi ndani ya ndoaHizi kesi ziko nyingi sana,niliwahi kuwa na rafiki yangu mmoja,yeye siku ya kuamkia ndoa yake alilala kwa mwanamke mwingine,akaondoka asubuhi,na jioni akafunga ndoa na mwanmke mwingine....
Mmmh, labda bolo la Jirani limemkoleza kuliko la mume, afanyaje!?SI ni malaya.........hajui atakacho......
Corona hii inawapa muda Sana tuUnakuta mdada anamiliki michepuko miwili, ila inahitaji roho ngumu sana , na sijui huo muda huwa wanautoa wapi!
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Kilio cha paroko😂😂😂Na ukute huyo mwanamke aliye lala naye huenda kabla yake alilala kwa danga lake, ndiyo maana watu mnaoana lakini mikosi haiishi ndani ya ndoa
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Paroko mpaka anawashangaa maana walivyoenda kwa mbwembwe kuandikisha ndoa [emoji23][emoji23]Kilio cha paroko[emoji23][emoji23][emoji23]