Bibi harusi agomea make up!

Bibi harusi agomea make up!

Mwanamke wangu nimemchukulia wigs za laki laki tatu, kope anaweka zile fupi.... Kucha haweki kutokana na kazi yake..... Make up ni km chakula........

Na kesho kutwa tunavyoenda marrrrrraaaangu inabidi akae kizungu ni ku clock iiiiit mpaka mawifi na mashemeji wawekee kikao hakuna mke hapa cc Seran
 
Bi harusi huyu aligomea kupambwa kope za bandia, kucha na kupakwa ma rangi usoni , je kumempunguzia uzuri wake ama amekuwa wa kawaida sana?

Je, ni insecurity ndio inasababisha kujipamba kupitiliza?
View attachment 3704334
Ni mzuri mno bila make up.

Nikiona mwanamke anahangaika na make up basi najua ni sura ya dingi hajiamini na wanavyokuwa wanatisha sasa laiti wangekuwa wanajua wangebaki natural.
 
Mwanamke wangu nimemchukulia wigs za laki laki tatu, kope anaweka zile fupi.... Kucha haweki kutokana na kazi yake..... Make up ni km chakula........

Na kesho kutwa tunavyoenda marrrrrraaaangu inabidi akae kizungu ni ku clock iiiiit mpaka mawifi na mashemeji wawekee kikao hakuna mke hapa cc Seran
Labda upate wa huko marraangu, ila kina sie lazima tuje fake😁
 
Mdogo wangu wakati anaoa, ile siku ya harusi alimpiga mkwara mkewe ole wako upakwe makeup yyt ile nakuja kukukataa mbele ya kadamnasi kuwa mke wangu sio huyu 😄😄 Shemeji hakukandikwa makeup yyt ile na alipendeza sana maana alionekana kwa uhalisia wake
 
Back
Top Bottom