Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,460
- 27,245
Yupo safi tu, makeup wanakuaga kama vibwengo.
Au unaonaje bwasheeNimecheka sana, 😁
Wenyewe huwaambii kitu juu ya hizo make up.
AIBi harusi huyu aligomea kupambwa kope za bandia, kucha na kupakwa ma rangi usoni , je kumempunguzia uzuri wake ama amekuwa wa kawaida sana?
View attachment 3704334
Au unaonaje bwashee
I can see!Yupo safi tu, makeup wanakuaga kama vibwengo.
Vyote , inategemea unasoma kutokea ango ipi?Hii ni habari au Hoja mchanganyiko?
I can see Artificial Intelligence generated metadata imageBi harusi huyu aligomea kupambwa kope za bandia, kucha na kupakwa ma rangi usoni , je kumempunguzia uzuri wake ama amekuwa wa kawaida sana?
Je, ni insecurity ndio inasababisha kujipamba kupitiliza?
View attachment 3704334
Akili mnemba hiyo, sio picha halisiKarembo