Biashara ya vitenge Kigoma

Biashara ya vitenge Kigoma

Mkuu hayo mabasi yanaweza kushusha mzigo njiani mfano chalinze kibaha kiluvya au kokote pale au hadi yafike ubungo.
wanashusha bila tatizo kabisa njiani kokote unaposhukia kikubwa uwaeleze tu wapi unashukia.
 
Pale mnazi mmoja kuna vitenge vingi sana na vinauzwa 20000 kwa pear yenye mita 6,je hivi vitenge vya mnazi mmooja vinatoka kigoma??
 
Kuna sister flani anafanya biashara ya vitenge sema yy akinunua anashonesha kule kule Burundi, kwa mujibu wake vitu ni cheap kule, hata ukija na mzigo we unaongea na watu wa mabasi unawapa kidogo mzigo wako utafika Dar salama
 
Mkuu unaweza nikapata mawasiliano mkuu ili nimuulize vitu moja mbili??
 
Kuna deli lakini wa-Nigeria wanasema ukweli. Feki wanauza 10,000 na java 20,000 na kuna original 1st class wanauza 45,000
 
ndo maeneo hayohayo,huko kuna nafuu kuliko hata hapo dar ,
ila kuna mdau kakwambia vitenge vya katoro ni fake
Feki ni copy ya original ni ngumu sana kufahamu tofauti
 
Kuna deli lakini wa-Nigeria wanasema ukweli. Feki wanauza 10,000 na java 20,000 na kuna original 1st class wanauza 45,000
Kama yale aliyokuwa anavaa Mama Salma ni shilingi ngapi.?
 
Ukitaka kwenda bunjumbura nauli ni sh ngap wakuu kama unatokea Mbeya?
wakati niko huko kigoma nilikua naenda buja kwa 30,000Tsh (kwenda na kurudi). hapo itabidi ujue nauli ya kutoka mbeya kigoma via sumbawanga au mbeya kigoma via dodoma(Dodoma Kigoma nauli ni 60,000 Dodoma Mbeya nauli 20,000) means hakuna usafiri wa moja kwa moja bila kubadili gari
 
Wenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?
Wax ziko za aina nyingi hapa kigoma kuna vitenge vya kuanzia elfu 15 hadi vya laki 3 kama alivyokuwa ana vaa mama SALMA Ni lazima ukitaka kufanya biashara ya vitenge ujue Wateja wako wanataka nini na nini Hawafahamu ili uwajulishe. Vitenge vingi unasikia original vinatoka Nigeria Burundi na Congo ni njia rahisi ya kupitia japo kuna kiwanda Burundi kinatengeneza ila sio kwa ubora wa wax og. Ukija kigoma vitenge vizuri kabisa og vinaanzia elfu 28,30,35,40,kuna vya 70 pia. Na ukitaka kwa order maalumu waweza agiziwa hivyo vya laki 3 ambavyo vyote ni vipande 3. Nafikiri umepata picha kwa hotel zipo kuanzia elfu 30 kwa siku na hadi za laki 3 kwa chumba kama kule hiltop hotel.nafikiri umepata picha karibu.
The easiest way ni Burundi.
I took one for bi mkubwa nadhani haikuzidi 20,000 za tz kwa wax OG (nahisi walinipiga lkn iyo 20.000)
 
Wax ziko za aina nyingi hapa kigoma kuna vitenge vya kuanzia elfu 15 hadi vya laki 3 kama alivyokuwa ana vaa mama SALMA Ni lazima ukitaka kufanya biashara ya vitenge ujue Wateja wako wanataka nini na nini Hawafahamu ili uwajulishe. Vitenge vingi unasikia original vinatoka Nigeria Burundi na Congo ni njia rahisi ya kupitia japo kuna kiwanda Burundi kinatengeneza ila sio kwa ubora wa wax og. Ukija kigoma vitenge vizuri kabisa og vinaanzia elfu 28,30,35,40,kuna vya 70 pia. Na ukitaka kwa order maalumu waweza agiziwa hivyo vya laki 3 ambavyo vyote ni vipande 3. Nafikiri umepata picha kwa hotel zipo kuanzia elfu 30 kwa siku na hadi za laki 3 kwa chumba kama kule hiltop hotel.nafikiri umepata picha karibu.
Nimekupata mkuu, feki vinachakaa haraka sana lakini vile vya laki 3 vina dumu. Huku kwetu uswaz ni kheri uzuri 30-35,000 zaidi ya hapo ni kutafuta matatizo
 
Back
Top Bottom