Biashara ya vitenge Kigoma

Biashara ya vitenge Kigoma

mtu wa mbeya au Songea inakubidi ufike kwanza Sumbawanga halafu kutoka sumbawanga unapanda gari la kigoma moja kwa moja , kipindi cha nyuma saratoga alikua anaroute ya kigoma mbeya nauli ilikua 55000tsh lakini aliifunga hiyo route
 
Katoro vitenge vyote vipo yaan org na fake ila utaelezwa ukweli. Mi sio mfanyabiashara nipo Geita. Kigoma kama unataka pia kuna vitenge vizur sana na bei poa ukihitaji rejareja poa ila kama unahitaji mzgo mkubwa ITAPENDEZA ZAIDI kwani kuna punguzo maana mwaka juzi 2015 mwezi wa kwanza nilikwenda kufanya kaz Kigoma mjini nikafika Mwanga sokoni nikamchukulia mama kama doti mbili @ 22,000. Nahisi kwa tz Kigoma ni mwisho kuna maduka mengi ya vitenge hadi unashindwa ukanunue duka lipi uache lipi
 
kuna masoko mawili kuna mwanga na kule mjini mkono wa kushoto kama unaenda stesheni..
Mkuu ni mkono wa kushoto au kulia kama unaenda steshen kutoa mwanga. Au sio soko la upande wa Exim bank au Nmb au NBC.
 
Baba Uzia nimeeleza ninachokifahamu sijakupinga bro, kote nimefika kigoma na katoro napafahamu vizuri hivyo naeleza uzoefu hebu tusipingane toa mawazo uwasaidie watu watafute riziki
 
Katoro vitenge vyote vipo yaan org na fake ila utaelezwa ukweli. Mi sio mfanyabiashara nipo Geita. Kigoma kama unataka pia kuna vitenge vizur sana na bei poa ukihitaji rejareja poa ila kama unahitaji mzgo mkubwa ITAPENDEZA ZAIDI kwani kuna punguzo maana mwaka juzi 2015 mwezi wa kwanza nilikwenda kufanya kaz Kigoma mjini nikafika Mwanga sokoni nikamchukulia mama kama doti mbili @ 22,000. Nahisi kwa tz Kigoma ni mwisho kuna maduka mengi ya vitenge hadi unashindwa ukanunue duka lipi uache lipi
Kwa 22 ninahisi ukitaka jumla wanaweza fanya 30,000. Si mbaya
 
kutoka kigoma kwenda bujumbura kuna member aliuliza ni shilingi 16000 tsh nauli. na ukifika Bujumbura kwenda uvira congo ni franga 5000 kama sijasahau.
 
Katoro vitenge vyote vipo yaan org na fake ila utaelezwa ukweli. Mi sio mfanyabiashara nipo Geita. Kigoma kama unataka pia kuna vitenge vizur sana na bei poa ukihitaji rejareja poa ila kama unahitaji mzgo mkubwa ITAPENDEZA ZAIDI kwani kuna punguzo maana mwaka juzi 2015 mwezi wa kwanza nilikwenda kufanya kaz Kigoma mjini nikafika Mwanga sokoni nikamchukulia mama kama doti mbili @ 22,000. Nahisi kwa tz Kigoma ni mwisho kuna maduka mengi ya vitenge hadi unashindwa ukanunue duka lipi uache lipi
Kwahyo mkuu inamaana ukitaka kuchukua mzgo wa vitengee unachukulia wap kigoma or bujumbura??
 
kusafirisha unaongea na makonda wa mabasi kama Saratoga au adventure hizi gari hupiga route za Dar kigoma ni rahisi kusafiri na mzigo hasa wkend days watakuchaji kwa boksi na mzigo wako utafika salama lkn uwe na uhakika wa njia yako
Mkuu hayo mabasi yanaweza kushusha mzigo njiani mfano chalinze kibaha kiluvya au kokote pale au hadi yafike ubungo.
 
option nzuri ni kigoma kwani utaulinda mtaji wako vyema na hutopata hatari ya kuupoteza na mkumbuke nchi za wenzetu sio salama sana kama Tanzania.
 
zaidi nashauri ufanye utafiti wa kina kwanza kwa kuanzia na hizi hints hapa tulizotoa.
 
Back
Top Bottom