Ni kweli ndio maana nikasema kwenye biashara hii ya vitenge ni muhimu sana kujua aina ya Wateja wako kuhusu kipato,tabia na standard wanazotaka. Hapo mtaenda sawa mie mpaka Leo naifanya hiyo biashara ninapokuwa na safari za mikoani, facebook imenisaidia kupata Wateja na hupiga picha na kuwatumia kabla ya kuanza safari najua nampelekea nani kitenge kipi na bei tunakuwa tumeelewana. Ni vema kutumia mitandao kukusaidia kukuunganisha na Wateja unaowafahamu na usiowajuaNimekupata mkuu, feki vinachakaa haraka sana lakini vile vya laki 3 vina dumu. Huku kwetu uswaz ni kheri uzuri 30-35,000 zaidi ya hapo ni kutafuta matatizo
)