Biashara ya ukahaba mtandaoni inasikitisha na kustua

Biashara ya ukahaba mtandaoni inasikitisha na kustua

Me Nilichogundua hata kitaa Manzi Ukimpigia Milunzi Ya Kawaida Akichomoa
"Pale pale Unapenyeza Shekeli Chap kwa Haraka Unahudumiwa Unajikataa No Money No honey
 
Poleni na mihangaiko ya kutwa nzima Wakuu.

Nianze na historia kidogo. Katika miaka ya mwanzo 2000 ambapo simu zenye uwezo wa Internet ndo zimeanza kuingia nchini hasa Nokia kulikuwaga na visaiti flani flani tukiingia kupakua (download) apps (enzi hizo zikiitwa applications) mfano themes za simu, tones, videos, games, apps za kuchati kama flurry, mig33, mocospace nk ambavyo visaiti hivyo vikijulikana kama wapsites, mojawapo ya wapsites nilikuwa nikiingia sana ni getjar.com na peperonity.com. Hapa utakutana na Symbian application maelfu kwa maelfu kwani kipindi hicho nilikuwa nna bonge la simu kwa wakati huo Nokia 6600 yenye Memory Card 12MB.

Katika peperonity.com ilikuwa unajisajili halafu unaanzisha kama ka-blog fulani na unaka-customize utakavyo na kupandisha (upload) vitu utakavyo mfano picha, video au apllication yoyote ulio ipakuwa sehemu. Nakumbuka vi-blogu (account) vingi vya kupakua vilikuwa vya wahindi, Wapakistan na Wabangladesh ndani ya hio peperonity.

Baada ya miaka 13 kutokufungua hio site leo nimekaa nikaanza kukumbuka tulivyoanza mambo ya ku-browse, ndipo nilipoikumbuka hii WAPSite, nikaona hebu niitafute niingine nione kama bado akaunti yangu iko active. Nimeandika ikani-direct yomowo.com. Kuingia naona ule mwonekano ni wa peperonity lakini adresi ni yomowo. Nikasema ngoja nijaribu ku-log in kwa username na nywila ya peperonity, nikafanikiwa kuingia.

Sasa kilichonifanya kuandika hii habari ni kwamba wengi kama sio wote wa users wa mtandao huu kutoka Tanzania ni malaya na mashoga, tena mtu anasema kabisa kuwa anataka wanaume wawili wam-duu kisukuma tunaita 3some.

Kwa hali kama hii kweli Ukimwi utapungua nchi hii? Je usagaji na ushoga kweli utadhibitiwa?

Kawatembelee ujionee mwenyewe, Find Friends: Girls, Tanzania, friendship site Tanzania, find friends...

Nawasilisha
Mkuu wanawake hawamo humo tuwachomeke mitalimbo?
 
70% ya watumiaji wa social network Tanzania ni makahaba. Wako badoo, instagram, JF huku wapo, kuna tinder na site kibao zao ni salam kinachofuata ni mznga
 
kwani hadi leo izo app zinaitwaje si application? bado apps ni kifupi cha appliactions maneno kibaoo...
 
Getjar.com umenikumbusha mbali sana mkuu daah nami mhenga kumbe
Tumetoka mbali sana Mkuu, sie ni kizazi kilichomalizia kutumia simu za TTCL na tukaingia Mobitel na Tritel unapiga simu tu no sms, enzi za kuchat kwa ICQ, MSN Messenger na Yahoo Messenger. Ilikuwaga safi sana
 
Tumetoka mbali sana Mkuu, sie ni kizazi kilichomalizia kutumia simu za TTCL na tukaingia Mobitel na Tritel unapiga simu tu no sms, enzi za kuchat kwa ICQ, MSN Messenger na Yahoo Messenger. Ilikuwaga safi sana
Zamani ilikuwa na raha yake mkuu, waptrick.com hadi wapdam.com haha
 
Back
Top Bottom