Biashara ya ukahaba mtandaoni inasikitisha na kustua

Biashara ya ukahaba mtandaoni inasikitisha na kustua

Tumetoka mbali sana Mkuu, sie ni kizazi kilichomalizia kutumia simu za TTCL na tukaingia Mobitel na Tritel unapiga simu tu no sms, enzi za kuchat kwa ICQ, MSN Messenger na Yahoo Messenger. Ilikuwaga safi sana
Umenirudisha kumbukumbu nyuma
 
kwaiyo zilikuwa zinaitwaje?
We jamaa mbona king'ang'anizi sana? Kuna mambo mengi yamebadilika sana kutokana na maendeleo ya tekinolojia ya mawasiliano, mfano leo mtu ukitaka kutafuta kitu mtandaoni unaambiwa nenda ka-google kwa hiyo google ndio ku-search? let's end this shit
 
mm peperonity ndo mtandao wangu wa kwanza kuuanza kuperuz aisee ile site ni nomaaa
 
umenikumbusha mbali mnoo
daaah peperonity mkuu
nilishawahi kuwa na AC huko ..mambo nimoto ile mbaya ..
nilivoweza kumshinda nguvu shetani wa ujana nikaja kujiweka mbali nayo ..kuna site nyingi mno chafu sio hiyo tu..
palikuwaga nahii 2go ...hii ilikuwa IPO kama watsaap flani Hivi
dadeq INA magasho wa kibongo hiyo ..
daahh dunia kweli simama
hahaha way back 2006 hahhaha nilikuwa migg33,peperonity,furry,mocospace ila kulikuwa na wadada waZuri na wa kweli nakumbuka kuna msichana alinifuataga kutuko zenji daaaah toka nizaliwe sikufikiriaga nitamiliki mdada mzuri kama yule ...sio siku hizi badoo wadada pesa mbeleee uwongo mwingi fake life nyingi kipindi kile tulienjoy sana. i wish nirude kule tenaaaa
 
Watu tulikuwa tunakesha kwenye ma-chat rooms ya mig33.
 
Dunia sijui ndo ipo mwishoni....sjui tuseme ndo ipo katikati sijui ndo inaanza mi hata sielew
 
Back
Top Bottom