Biashara ya Sungura imejaa utapeli wa hali ya juu sana

Hahah mwenye hiyo taasis Bi Ubwa, first time nilimuona akitoa speech kwenye malkia wa nguvu. Ana mbwembwe huyo bla bla nyiiingi.
Ofisa anayehusika na mambo ya uwezeshaji kwenye Ofisi ya Rais, alisema Namaingo walipewa ruhusa ya kufundisha mambo ya ujasiria mali lakini si kuunda vikundi vya ujasiriamali chini ya mwamvuli wa taasisi yao.
 
Biashara zooote za wanyama wadogo kama kuku bata mende sungura ni mkakati wa kitapeli kuwavuta wengi waingie ili inspirational speakers wapate hela, wauza vyakula na madawa wa wanyama hawa wapate hela mengine wanakuachia wewe mwisho wa siku kama utabahatika utakuwa na wingi wa hao wanyama lakini huna pa kuuzia kurudisha hela. heti: kilo moja ya mende China ni laki tano??? Jamani muogopeni Mungu. Sasa ingia mkenge uanze kufuga hao mende utauziwa mende mmoja wa mbegu 15,000 nautaambiwa unatakiwa uanze na mende 10 kwa kiasi cha 150,000. Hiyo semina ya jinsi ya kufuga mende unalipia kiingilio kwa mtu ni 50,000 wakipatikana 20 inspirational speakers kaishaula. Utauziwa chakula special cha mende kilo 35,000 na utaambiwa mpaka wakue unatakiwa ununue kilo 10. Utaambiwa ununue madawa ya kufanya wazaliane, kuwakuza na kuwafanya wawe na uzito, n.k. Amaaa kweli nyakati hizi za mwisho watu wanapigwa na kubaki mafukara wa kutupwa
Acha niendelee kukomaa kuuza Tangawizi na kitunguu swaumu,
Huku kwingine unatengeneza bidhaa alafu mnunuzi humjui,
Uko sipataki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara zooote za wanyama wadogo kama kuku bata mende sungura ni mkakati wa kitapeli kuwavuta wengi waingie ili inspirational speakers wapate hela, wauza vyakula na madawa wa wanyama hawa wapate hela mengine wanakuachia wewe mwisho wa siku kama utabahatika utakuwa na wingi wa hao wanyama lakini huna pa kuuzia kurudisha hela. heti: kilo moja ya mende China ni laki tano??? Jamani muogopeni Mungu. Sasa ingia mkenge uanze kufuga hao mende utauziwa mende mmoja wa mbegu 15,000 nautaambiwa unatakiwa uanze na mende 10 kwa kiasi cha 150,000. Hiyo semina ya jinsi ya kufuga mende unalipia kiingilio kwa mtu ni 50,000 wakipatikana 20 inspirational speakers kaishaula. Utauziwa chakula special cha mende kilo 35,000 na utaambiwa mpaka wakue unatakiwa ununue kilo 10. Utaambiwa ununue madawa ya kufanya wazaliane, kuwakuza na kuwafanya wawe na uzito, n.k. Amaaa kweli nyakati hizi za mwisho watu wanapigwa na kubaki mafukara wa kutupwa
Hivyo hivyo kwa kuku kuchi,
Utaambiwa jogoo la kuchi ni 150,000 kwa ajili ya mbegu,
Eti ukikuza kuchi utauza nchi za Arabuni kuchi mmoja 400,000,
Nunua sasa hiyo mbegu kisha wakuze hao kuchi,
Sikilizia sasa hao wateja Arabuni,
Utasubiri mpaka utaamua uuze tu 15,000 kwa kuku,
Kiukweli hakuna shortcut ya kufanikiwa,
U must start from zero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MMOJA soma hii hapa chini!!!

Hivi kuchi ana faida gani hasuwa mpaka afike bei hiyo, nakumbukua nliwaona saba saba nikawauliza swali hilo jamaa alijibu eti ahaa kuchi wana nyama sana nikamuuliza kivip maana walikiwa wanauza laki mmoja nikamuuliz ukimchinja utapata nyama kg ngapi jamaa akasema mpaka kg tatu,mmhh ina maana hata wanaofuga hawajui wanauza bei hiyo kwa sbb gani,iyo biashara naifananisha na ule mvumo wa kware ,mpaka sasa hivi sijui wamefikia wapi maaana watu mpaka walikopa kwa ajili ya kufuga kware, /onyo ogopa biashara za mlipuko.

maana unaandika kuchi anauzwa laki na nusu au zaidi mtu anajibu comment kwa kusema "kwan amekua ngombe". watu washaambiwa kuchi hafugwi kwa ajili ya nyama na ukifuga kwa ajili ya nyama lazma upate hasara.kuchi tunafuga kwa ajili tunapenda hii breed kwa sababu ni unique sawasawa na watu wanaofuga njiwa maana kuna njiwa wanauzwa hadi laki 2 sasa hauwezi sema umefuga kwa ajili ya nyama ni kwa ajili unapenda hiyo breed coz ni unique.Mtu akitaka kuku kwa ajili ya nyama basi kuna majogoo makubwa sokoni yanauzwa kwa bei rahisi ya elfu kumi na tano,ukifuga kuchi kwa ajili ya nyama lazma upate hasara tena kubwa.
 
Haya mataka taka sijui ma kuku na sungura na bata binafsi niko intersted for leisure na kwa ajil ya matumiz ya nyumbani primarilly.
Suala la buashara litakuaja kama secondary option baada ya kuona mm nanufaika navyo..
Na sitaki hizo semina sijui zimeenda zikarud mana nu wengi ni wezi kama unavyosema.
 
Ni nyama tamu lakini walaji hakuna Tanzania. Labda uwafuge kwa natumizi yako binafsi si kibiashara.
sidhani kama walaji wamekosekana. shida ni jinsi tunavyotangaza biashara zeta. inakuwaje kwenye baa Luna chipusi kuku na sio chippie sungura?? kama unajua sungura natal vipande sita na kama ukiweza kuuza kila kipande 2k inamaana umeyengeneza 12k. kunasehemu moja ug panaitwa Bugweri jamaa yeye aliona awe tofauti na wengine badala ya kuuza nyama ya kuku yeye akaona aanzishe nyama ya sungura kuchoma haikuwa rahisi mwanzo ila kwa saasa anachinja wasyani wa sungura 6 kwa siku. tatizo letu wabongo tunataka faida harakana attack uvumirivu ktk biashaa
 
Mkuu Haaa angalia usije ingizwa Mkenge, Hao unao wafuatilia wangekuwa wanafaidika nao huo mkojo wangefanya kimya kimya. Nani ahangaike na Mkojo wakati kuna Organi fertilizer Madukani tena quality?
Nimefuatilia sana kenya nikapata taarifa sahihi kwasababu wataalamu wetu kila ninapouliza nilikosa majibu yakueleweka. Hapa ni kweli kama unafanya kilimo hai au organic, una N,P na K ya kutosha sana na unaweza kuspray kwenye mmea wenye shida kuua wadudu. Ni nzuri sana kwa wanaofanya kilimo cha mbogamboga, ni soil conditioner na rafiki mzuri sana wa udongo ila
Ukibugi kwenye uchanganyaji unaua mmea jumla

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimfugaji wa sungura toka 2013 hadi leo mim nafuga tu kwa 7bu.

Nawapenda kuwaona kula pia uwa nauza mim nafuga tu kienyeji ila wananikomboa vitu vidogodogo cja waikupata changamoto kihivyo eti soko hakuna mala njoo semina mim nilienda polini nikawinda hadi leo hii mim ninao na nauza bilashaka sas cjajua tatizo nin wanazengwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ndio safi ukiwafuga kama hobby tu,mimi siwezi kula Sungura.
Binafsi nimfugaji wa sungura toka 2013 hadi leo mim nafuga tu kwa 7bu.

Nawapenda kuwaona kula pia uwa nauza mim nafuga tu kienyeji ila wananikomboa vitu vidogodogo cja waikupata changamoto kihivyo eti soko hakuna mala njoo semina mim nilienda polini nikawinda hadi leo hii mim ninao na nauza bilashaka sas cjajua tatizo nin wanazengwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema yote kwa ufasaha zaidi

Back
Top Bottom