richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,025
- Thread starter
- #21
Kwa haraka haraka ni kama 2M.Ndugu ulitumia mtaji wa shilling ngapi kufungua hiyo stationary?
Kuna vitu nilikua nanunua kidogo kidogo naweka ndani mkuu.
Nilipopata fremu ndio nikaongezea baadhi nikafungua.
... Utampata tu mtu mwaminifu