Biashara ya Shopping Mall | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Shopping Mall

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Game Theory, Jan 9, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna mtatakau anaweza kuniletea ECONOMICS OF SHOPING MALL?

  Kwa Dar to be honest I dont think kama DAR NORTH pana nafasi...I mean ILALA/KINONDONI


  Nafikiria Kigamboni kwa sababu ya space, pili traffic management (daraja liko njiani) na tatu kwa sababu ya hawa wanasiasa wetu I'm thinking niende mbele ya huo mradi wa Chiligati na maswahiba wake

  Nimefika na nimetembelea QUALITY SHOPPING CENTRE...the place is cheaper na nashangaa why didnt he invest proper money in that entity...finishing ni poor lakini what he has ni market ya TEMEKE NZIMA!! so its down to economics of scales....atarudisha pesa zake mdosi

  so what I have in mind is something like this in Kigamboni:

  Westgate Mall Nairobi

  [​IMG]

  Entrance
  [​IMG]


  [​IMG]


  Rift Valley Academy Students Choir Performing in the mall
  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  Nakumatt Westgate
  [​IMG]


  Barclays Premier
  [​IMG]


  Safaricom
  [​IMG]


  Zain
  [​IMG]


  Dormans Coffee
  [​IMG]


  United Colours of Benetton
  [​IMG]


  Nike
  [​IMG]


  Adidas
  [​IMG]


  Numetro Cinema Store
  [​IMG]


  Onami - Grill & Sushi bar
  [​IMG]
  www.onami.co.ke


  Casinos
  [​IMG]
   
 2. B

  Brandon JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu,una bonge la wazo maana hayo maeneo yamesahaulika sana.
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  DAR NORTH kumejaa na ule wazimu eti wa kwenda kujenga maeneo ya Mbezi beat and beyond is just crazy unless wajenge highway yenye lanes 8 kwenda Bagamoyo ...NA BADO STILL MAENEO YENYEWE YAMEJAAA


  Uzuri wa Kigamboni maeneo bado ni Virgin na proximity na mjini pia inachangia na naamini kupata Acres 30 mtu hukosi kwa ajili ya project kama hiyo

  zaidi ya hayo...kama watu na akili zao wanaweza kutoka kwenda kushinda Dar es salaam Zoo na wake zao na watoto wao, Can you imagine ukiwawekea proper Mall na watoto wakapata sehemu ambazo wanaweza kucheza the whole day na huku pesa zao zote wanakuachia wewe
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Good investment idea,go ahead,weka hiyo sehemu ya watoto nije nishinde hapo na wanangu najua by the time inaisha ntakuwa na twins.......LOL
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  lol.....
   
 6. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu hiyo biashara ilete Arusha, Maeneo yapo kibao. Wazo zuri sana mkuu.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  thanks sliding roof, i am sure NSSF wana maeneo tayari na nimeona mengine kule mwongozo, including state of the art hospital, gold course etc. malizieni daraja uone value for money
   
 8. m

  muyaka bin Haji Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shamo huyooooo anawaleta WESTGATE Dar

  [​IMG]
   
 9. a

  arigold JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  hii ndio watu wanataka kufanananisha na Quality ya Manji

  nyie kweli ma dreamers

  nashangaa hujaulizwa wewe yako iko wapi?
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  You have in mind ehhh!!! I guess its good to dream once in a while, just make sure you are taking the right steps to get there.
   
 11. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Its good to dream , tz hatuna consumer society to sustain mega malls.na pia hatuna credit cards for impulse buying kama us or eu.uliza waliopanga maduka mlimani city utajua ukweli.
   
 12. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hiii ya SHAMO inajengwa wapi?
   
 13. B

  Bonge JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 868
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 80
  SHAMO inajengwa Mbezi Beach
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wait for mine soon....
   
Loading...