Wakuu naomba niirudishe hii thread tena.
naomba mlio na experience mnisaidie info za vipi samaki aina ya sato na sangara wanapatikana kwa dar (kwa jumla) ili kuanza kuwauza kwa reja reja.
i mean mmiliki wa bucha hupata vipi samaki aina hiyo kwa ajili ya kuwauza?
mkuu
King Kong III NA WADAU WENGINE PLEASE...