Habari za mda huu naomba kufahamisha kuhusu hii biashara ya SAMAKI hasa SANGARA kutoka mwanza.
Natamani kujuwa bei ya jumla kwa Mwanza wanauzaje na cost ya usafirishaji
Pia natamani kujuwa kwa hapa Dar kwa jumla wanauzaje?
Nimevutiwa na biashara ya bucha la SAMAKI hasa SAMAKI aina ya SANGARA kutoka Mwanza.
Asanteni.