Mambo vi
Pi!? Una mawasiliano na wenye magari ya refrigerator!?Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.
Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.
Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .
Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.