Biashara ya samaki

Habari wanajamvi, napenda kuwasilisha mada tajwa.

Mimi nilikuwa nawazo ya kufanya biashara ya samaki wabichi sato na sangara kuuza kwa jumla sana sana kwa ma butcher na mahotel kwa kuanza sitakuwa na sehemu maalum, yaani duka nitakuwa natafuta order baada yakupata order na supply direct kwa mteja.

Mimi hii biashara sina uzoefu nao. Naomba msaada kwa wazoefu wa hii biashara kujua bei ya kununulia mwanza, usafiri, bei ya kuuzia, changamoto, faida, mahitaji kama leseni n.k.

Nawasilisha
 
Uko wapi na soko unalolenga ni lipi mfno ukitaka msambazaji kwa Dar hta mm tunaweza ku partnership na kuhusu vibari changamoto hapo sna ujuzi napo
 
UTOFAUTI WA SANGARA NA SATO
Bei ya sangara na sato inatofautiana. Sato siku zote iko juu. Kwenye kipindi cha mvua samaki wanapatikana wengi na kwa Bei nafuu. Kipindi hiki samaki sangara kilo kwa jumla ni 4500. Wakati sato anaenda mpaka 5500.

Samaki wanapimwa kwa kilo. Unaweza kununua moja kwa moja kutoka kwa wenye mitumbwi yao au kutoka kwa walanguzi ambao wao huzinunua kwa wingi na kuzihifadhi Kwenye mafriza baada ya kuwatoa mautumbo na mabondo.

Hawa walanguzi ndiyo wenye Bei niliyokupa hapo juu. (Ukumbuke Bei hubadilika ) walanguzi hawahawa ukitaka samaki wanakufungia vizuri na kuwapakiza Kwenye mafuso. Fuso zote zinapakulia pale urafiki freti. Ila unalipia usafiri mwenyewe.

Kuhusu kibali mlanguzi huwa anakibali na mwenye fuso anakibali cha usafirishaji. Na ushuru utalipwa na mlanguzi. (Ukitaka namba ya mlanguzi utaniambia).

Bei ya kuuza huku samaki mbichi kilo ni kuanzia elf 8-10.

Of course ukitaka kuwa na frem lazima uwe na leseni nenda halmashauri na tra lazima ikuhusu.

Ukitaka nafuu sambazia mzigo ukiwa home kwako.
 
Shukran sana ndugu umenipa mwanga.ubarikiwe👍👍
 
.
Nadhani pia Kuna mnada wa samaki alfajiri pale River side, na huko Kimara
 
Kama kuna mtu yuko serious mimi naleta samaki aina ya Sato 500 kila siku ambazo ni 3,500 kwa week kutoka Mwanza.. Nasambaza mahotelini na kwenye bars, Ni PM nauza kwa bei ya jumla samaki wa size ya nusu kilo Tsh 3,750 naanza kuchukua order kuanzia 50.
Habari mkuu,

Nauliza bado unafanya biashara ya kuuza samaki toka mwanza?
 
Wakuu miye pia nina wazo la kununua na kuuza samaki wabichi ktk kiwanda cha samaki kisiwani mafia,ila sina uzoefu wa hii biashara naombeni mwongozo
 
Mwenye kuhitaji kununua samaki za ziwa Victoria kwa bei za jumla kutoka Mwanza kama Uko Dar, Moro na Dodoma tayari mizigo nasambaza na ipo masokoni katika hiyo mikoa mitatu. Na aliyoko mikoa mingine

Cont: 0787921515

Wale wa Dar: Butcher ipo Kinondoni soko kuu katika milango ya Msikiti wa Mtambani barabara ya kuingia soko kuu
 
Habarini wadau,

Nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza samaki wabichi na kwa bahati mbaya sina uzoefu nayo. Hivyo, nilikua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii anishirikishe uzoefu wake katika masoko, changamoto na hata faida za aina hii ya biashara na mahitaji ya msingi kabla ya kuamza kuleta mzigo.

Mimi nimefikiria kutafuta fremu Mwananyamala sokoni, Mbagala sokoni au Mwenge.

Naomba mchango wa mawazo yenu ili niweze kufanya kwa mafanikio biashara hii.
 
Kwa haraka haraka utaitaji kuwa na freezer na location (frame) yenye umeme wa uwakika ili muhimu kuzingatia ili samaki wakae muda mrefu.

Utaitaji kuwa na cutting machine ya umeme itakuwa nzuri mengine watajazia
 
Back
Top Bottom