Biashara ya samaki

Mazingira yapo kàtika hali nzuri tu,mkusanyiko upo wa kutosha
Assessment kabla ya kuanza biashara pia umefanya?? kama umejiridhisha na ukashauriana na watu ukaona kila kitu kipo Okay..it is fine..kila la heri mkuu
 
Kunajamaa juzi alikuja ofisi za tra kwaajili ya kujipatia makadirio ya kodi kuhusiana na biashara yako hii alitoka akiwa ameloa jasho hebu nawewe kajaribu maana huyu aliondoka akidai anaenda kuuza freezer zote
 
Kama unamtaji, wa kufanya biashara njoo tushirikiane mimi kuhusu namna ya kupata dagaa na Samaki hapa mwanza najua wewe tafuta soko huko ulipo kisha nitafute kwenye simu tuongee sitaki usumbufu kama huhitaji kufanya biashara.
0684071258
IMG_20180322_133618.jpg
IMG_20180323_062037.jpg
 
Kunajamaa juzi alikuja ofisi za tra kwaajili ya kujipatia makadirio ya kodi kuhusiana na biashara yako hii alitoka akiwa ameloa jasho hebu nawewe kajaribu maana huyu aliondoka akidai anaenda kuuza freezer zote
Hapo ndo Tra wanapo-boa... Ng'ombe wa maziwa wao wanamnyonga kabisaa!
 
habari zenu wadau ,,,nataka nifanye biashara ya samaki aina ya sangara na sato toka mwanza naleta dar es salaam ,nmefuatiria mambo yote yanayohusiana na biashara hii ila nakwama sehemu mja tu ya kuhifadhia mzigo(freezer) kwani kiasi cha pesa nilichonacho hakitoshi kufanya yote .Naomba msaada wenu kama kuna mtu mwenye freezer na yuko tayar kufanya hii biashara anichek 0745703651 na pia kama kuna mtu anahitaji samaki anitafute kwenye namba yangu hapo juu


Naomba msaada wenu
 
Kama kuna anayejua vibali na leseni zote za biashara hii. Msaads please
 
Back
Top Bottom