Naomba kuuliza mimi nipo Dar na nina plan ya kufungua mgahawa mdogo wa chakula. Je, ni nini kinahitajika katika ku-establish mgahawa na pia kiasi gani cha Capital kinahitajika, yaani kwa ufupi nachsema is that nataka kufungua mgahawa wa chakula but sijui pa kuanzia..Nahitaji ushauri wenu
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/478816-restaurant-inapangishwa.htmlNaomba kuuliza mimi nipo Dar na nina plan ya kufungua mgahawa mdogo wa chakula, je ni nini kinahitajika katika ku-establish mgahawa na pia kiasi gani cha Capital kinahitajika, yani kwa ufupi nachsema is that nataka kufungua mgahawa wa chakula but sijui pa kuanzia. Nahitaji ushauri wenu
Siku moja nenda Kitunda/Kivule/Majohe asubuhi sana uone vijana wa mjini wanachofanya?
Hawa madogo wanakwenda alfajili sana kukusanya kuku waliokufa mabandani na kuwaandaa vizuri. Kisha wanaondoka na hao vibudu mpaka town Ktk migahawa na kuuza kwa bei ya kutupa. Sisi tunafakamia kwa bei nafuu. Uliza wafugaji aw kitunda wakupe Siri hii Kama kuna kuku wanafukiwa huko wakifa.Wanafanya nini hao vijana mkuu Malila?
Hawa madogo wanakwenda alfajili sana kukusanya kuku waliokufa mabandani na kuwaandaa vizuri. Kisha wanaondoka na hao vibudu mpaka town Ktk migahawa na kuuza kwa bei ya kutupa. Sisi tunafakamia kwa bei nafuu. Uliza wafugaji aw kitunda wakupe Siri hii Kama kuna kuku wanafukiwa huko wakifa.
Hawa madogo wanakwenda alfajili sana kukusanya kuku waliokufa mabandani na kuwaandaa vizuri. Kisha wanaondoka na hao vibudu mpaka town Ktk migahawa na kuuza kwa bei ya kutupa. Sisi tunafakamia kwa bei nafuu. Uliza wafugaji aw kitunda wakupe Siri hii Kama kuna kuku wanafukiwa huko wakifa.
La kwanza uwe na mpishi mzoefu wa migahawa. Pili, eneo zuri kibiashara. Tatu, jiko zuri.
Mimi in mkazi Wa arusha Nina wazo la kufungua mgahawa na Nina mtaji Wa tsh 800000 je itatosha au niifanyie nini
Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa mjini DSM, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya jioni kucheki jinsi biashara inavyoendela na kuhakikisha hesabu zinaenda vizuri.
Tatizo mpaka sa hizi ni zaidi ya mwezi na sioni faida yoyote zaid ya kuwalipa wafanyakazi wangu kwa kipato changu kidogo ambacho ninakipata kwenye kaajira kangu kwa mhindi. Naombeni mnisaidie yafuatayo;NAOMBENI USHAURI WENU.
- Nifanyaje ili niweke kuvutia wateja zaidi bila kutumia kiasi kikubwa cha fedha?
- Nifanyaje ili niweze kupata faida kubwa, yani kuwa na matumizi kidogo na mauzo mengi?
- Nifanyeje ili kuwabana wafanyakzi wngu waisimamie biashara vizuri na kupata faida?