waziri/saidi
Member
- Jun 1, 2012
- 51
- 2
I luv da way u have constructive ideas.. Big up 2money stuna,wise boy etc.
Mwaga challenges kaka.Yap mkuu? Kama ni biashara ni kama stunna alivosema, thou kuna vitu specific nadhan kwa terms za biashara vinapaswa kuzingatiwa.
yap mkuu? Kama ni biashara ni kama stunna alivosema, thou kuna vitu specific nadhan kwa terms za biashara vinapaswa kuzingatiwa.
Habari wana jamvi,naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba,pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje,mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA? Msaada plz.
umefanikiwaje?useful uzi niliowahi kuanzisha jf jamani nashukuru watu bado wnafaidika kupitia huu uzi
Yap mkuu? Kama ni biashara ni kama stunna alivosema, thou kuna vitu specific nadhan kwa terms za biashara vinapaswa kuzingatiwa.
Hebu tupe habari kamili kuhusu bei, usafiri na nguo gani hasa zinapatikana wapi! najiandaa kwa zoezi hilo hivi karibuniNilimtaarifu mkuu money stunna siku ileile naondok kwenda Uganda, nilimtaarifu siku niliporud.
Nitumie tena fursa hii kukushukuru kaka, kwakuwa mimi si muoga na hutumia kila fursa ya pekee nilifika uganda kwa kutumia maelezo hayahaya ya Stunna, nililala Boston baada ya kukuta Galaxy imejaa.
Nimejifunza mengi, sijajuta kuwa Uganda, nmepata xposure na wafanyabiashara wengine, hasa wa tz thou nilipolala pale nilikutana na mkongo mmoja wakati nacheki mechi za WC na nikawa na uzoefu kiasi.
Changamoto ni ndogo sana, znahtaji pia ujanja kidogo kuzitatua.
Thanks moneyStunna na wachangiaji wote mliokuwa mkiuliza maswali yaliojenga Ramani.
Kaka umetusaidia wengi. Nilikuwa na mpango wa kumpa wife kama 10m anapenda kufanya biashara, si unajua ajira zenyewe hazisomeki? bora kujiajili tu. Kwa jinsi hii hamna haja ya kwenda china.yaan umeeleza vizur mno it seems ur gud in business.
uwe shuhuda wa kitu gani ndugu... hebu twambie uko vipi? ulipata bidhaa za maana? na bei zipo vipi? na biashara yako inaenda vipi... tujuze plzNgoja mm niwe shuhuda wa kile unachotaka kufanya mkuu...last year nilienda uganda mwez wa 6 kuchukua hzo hzo nguo za mtumba, nilikuwa na 5m...nilifikia hotel moja pale mukono inaitwa 24/7 ni hotel nzur na ipo barabaran pia kwenye ground floor pana ofisi za kampala coach hvyo unapata uhakika wa safari na kutunziwa mizigo yako pale ofisini kwao....kwa chini zaidi ya hiyo hotel kuna club wanajaa wanafunzi wa vyuo coz lile eneo la mkono lina vyuo vingi sana na utakutana na wabongo wa kutosha na wakenya......janguuu
Niseme shukrani kwa Money Stunna nilikwenda kampala July 15. Nililala kwa rafiki yangu mtz anafanya kazi kule kwenye kampuni moja ya mtz pia. Vitu kweli ni bei ya chini kulinganisha na TZ lakini changamoto niliyoiona ni kujua wapi upate hivyo vitu bei poa manake wanaanza bei ya juu kama wabongo. Mitumba (nguo,viatu,n.k) ni rahisi sana na kwa safari yangu hii nimedhamiria nijipange kwa ajili ya mitumba. Nguo za duka nimekuta nyingi ni za kichina na sio latest kama za TZ kwa vile sikubahatika kuyajua maduka yanayouza nguo au vitu vipya kwa bei ya chini kama alivyosema stunna.
MUHIMU: Kuna shopping center jirani na Owino imefunguliwa ina frame kibao kwa mtu anayehitaji kwenda kufanyia biashara kule zinakodishwa kwa bei latest JULY 17, 2014 nimeambiwa na wenyewe wenye jengo ni 1.2M UShs (around 800,000TShs) kwa miezi mitatu na kwa sasa kuna promo unaongezewa miezi 2 kufanya miezi mitano kwa pesa hiyo hiyo. Nimefanya uzembe kutonakili jina na nimeshalisahau.
Money Stunna na wengine mlioenda kama mimi mliofanikiwa kuyajua hayo maduka ya vitu vipya naomba mtujulishe. Nilihitaji sana kununua Timberland mpya kwa be ya chini lakini sikuyapata hayo maduka niliyoyaona bei ilikuwa 150,000Ushs.
Ahsante Money Stunna na wote.
cc Dumelang