Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Jibu vizuri kama mtu mwenye uelewa wa jambo mkuu unajibu kama vile haufahamu kitu bana wakati hata wewe ulikua kwenye hii hali watu wanatamani kufaham kwa uzoefu wako wa trip kazaa kwa mzigo wa milion 2 nitalipa kod mpakani avarage kiasi gani utapaswa kujibu kisomi na kiuzoefu wako we unajibu kama madada wa mtaani bna yan kana kwamba unaona watu wakienda wew hautapata pesa sema

Elezea watu wasaidike nawe kama wew ulivyosaidika na waliokueleza mkuu

Tafadhali rudia kujibu ilo swali please
Narudia kukujibu tena ukiona sikujib vizur kuna wengi walioshaur mwanzo kwnye huu Uzi sawa boss ...sina uzoefu na border kma m nimeenda kuchukua nguo za m2 na ww ukaenda kununua spear unategemea waangalia mtaji wako au wanaangalia bei ya vitu ulivinunua shngap huko UG , second m sio TRA sina nguvu ya kuongea chochote kuhus kodi jomba ...nenda kapambane na ww ujue border inauzoefu gni
 
Habari,

Msaada. Natamani sana kwenda uganda kwaajili ya biashara ya viatu, kununua kule nilete huku. Lakini sijui pa kuanzia, nafikia wapi, hoteli, masoko na bei za bidhaa, jinsi ya kusafirisha mzigo taxes zikoje - sina mwenyeji kabisa.

Napata woga kidogo ila ni suala ninalotamani kulifanya, msaada maboss.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzia Uganda
 
Mkuu ungejibu swali hili kimapana ungekuwa umetusaidia wengi sana...hebu funguka kdg ndugu hapo border ndo mahali pekee watu wanapopahofia....jitahidi kutoa jibu zuri ikiwezekana na Mungu atakubariki.
Uoga hutakiw uwepo ndugu wewe nendaa border utavuka tuu m siwez jmn kuwaambia ushuru boss tunatofautiana sasa kma nikikuambia m nilitongozwa na afisa Mzigo ukapita kweli ntakuwa nmekusaidia nn ?? Somen huu Uzi vizuri utawasaidia
 
Mtaji Wa kuanzia angalau Wa shi ngapi hivi Kwa mfano biashara yako hiyo?
Mtaji wa biashara hutegemea na biashara unayotaka kufanya na sio makisio .... Ukisema mtaji n kujumlisha pango LA from,Mzigo,toz za tra huo ndo mtaji wa biashara unajumlisha kila kitu b4 hujaanza biashara ,uliza unataka unachotska kukifanya unahitaji kama sh.ngapi hpo nweza kukukadiria kwa UG unahitaji sh.ngp mpk ufanikishe Mzigo kufik home
 
Habarini wakuu wa Jamvi nilisahau kuleta mrejesho ...nilikwenda UG na mambo ni mazuri sanaaa... Nilifata ushauri wenu na sana sana Dumelang ulitoa ushaur mzuri na niliufanyia kazi 100% .. Na nshapiga trip za kutosha na mwezi November nasafir tena Mungu akinibariki uzima ....
Asanteni sana kwa muongozo
Safii kwa mrejesho.
Faida ipo au mdogo mdogo..
 
Kuna mdau kakuuliza swali la msingi sana mtu aliyeko mkoani unamshauri afate bidhaa Dar Es Salaam au Kampala ukamjibu Kampala.

Sasa swali langu likaja je mnaenda kufata vitu Kampala kwa sababu thamani yao ya pesa iko chini kulinganisha na TSH au mnaenda kwa ajili gani?
Tukirejea kwenye goods zinazozalishwa na kuingizwa Uganda haziwezi kufikia za Tanzania hata kidogo kumbuka ile ni landlocked country.

20,000Tsh = 32,260.29 UGX
1,000,000Tsh = 1613,014.53UGX
5,000,000Tsh = 8,065,072.64UGX

1000Ksh = 22,313.18Tsh
10,000Ksh = 223, 131.76Tsh
1,000,000Ksh = 2231,317.59Tsh

Huu ni mfano hai tu wakuonyesha namna fedha za Tanzania na Uganda zilivyo chini sana kithamani zidi ya pesa ya Kenya, na kwa maelezo yako umeeleza wewe ni mkaazi wa Arusha sasa umeshindwa vipi kwenda Nairobi hapo kwenye vitu vizuri na vingi zaidi kulinganisha na vya Kampala ambavyo vingi vimepitia Dar na Mombasa je ni kwa sababu ya thamani ya pesa ama nini kingine?

Note: nilisema kama jibu lako ni ndio kuhusu thamani ya pesa basi Kenyans wanatawala E.A
Oky in hiv UG wana product tz hamnaa nyingi sanaaa hata material n konki kuliko unachokinunua Kkoo nchi kma uturuki,dbai,China bidhaa nying wanazipeleka UG tz vitu vingi n low quality ndo sababu y mm kwenda UG na sio Tz ,ukiongelea Mombasa o Kenya , wako vizur kwa mtumba not special hta kidogo huwez fananisha Nguo ,Viatu vya Tz na UG ...mtymba wa UG n konki sana ...wafanyabiashara wengi tunaangalia urahs wa bei ila sio quality ila wachache tunaangalia.... Nilivyorud juz nimebeba msswat y mtumba UG quality safi sanaaa hta 20000 unauza kiroho safii, sitaki kuangalia pesa ikoje ya UG coz hata sis wa Tz hatuko proud na thamn y pesa yetu ...na kuna WaUg wanakuja kkoo kununua vitu pia
 
Nimeshasema hapo kwa biashara kama hiyo ya kwako
 
Hao waturuki, wadubai na wachina wanapeleka vitu vyao Uganda kwa njia gani au kuna cargo planes zinafika kule tusaidie tujue.

Mimi binafsi ni mtu wa kanda ya ziwa Bukoba, Katoro, Geita kwa ujumla nimeishi sana vitu ni kweli wanafuata Uganda na sababu kuu ni urahisi wa bei na si ubora wa bidhaa.

Katoro - Geita ni KM zisizozidi 50 na Katoro ni kata tu ila mtu yuko radhi kuacha fridge la Zec lililoko Geita mjini linalouzwa 300K akafata lililopo Katoro linalouzwa 200K. Watu wa Geita mjini wanafata bidhaa zao 80% kutoka Katoro kwa sababu ya urahisi wa bei na si kinginecho
Sasa boss mm kutak kujua yote hyo wanapelekaj m ntajulia wapi hahahaha
M Niko kibiashara na sio ki uchunguzi umenchekesha kwel
Unakaa kanda ya ziwa mnashindwa kuzam UG na kufanya biashara za maan alafu kma uki karibu hivyo msswali yote ungekuwa n majibu yake kwa ukaribu ulionao I wish ningekuwa nakaa karibu kias hicho .... Acha kuwaza mengi kma unahit biashara nenda otherwise unahitaj kuchangia mada tu na kujifunza
 
Nimeshasema hapo kwa biashara kama hiyo ya kwako
Sina cha kukujibu swali lko halijajitosheleza , soma maelez kwanza then uliza coz hta biashara nayofanya na mahali nakoish na ww unakokaa hatuwez kulingana kwenye mtaji mjomba biashara INA mambo mngi sio tuu kuuza na kupata faida . km mm KOd nalip 200000 kila mwez n ww ukalip 100000 huon tayr tunatofautian mtaji ...re-read
 
Back
Top Bottom