Kwa nilichokishuhudia kwa macho yangu hakika ufuska na biashara ya ngono haitokwisha, ndio kwanza inazidi kukua

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,305
12,801
Wiki iliyopita nilisoma jarada moja la habari iliyokuwa ikihusu "meya fulani kutoka mkoa wa dar es salaam anapambana na dada wanaofanya biashara yakuuza miili yao alimaarufu Kama machangudoa au madada poa.

Kwanza nampa pongezi kwa uthubutu huo lakini pia nampa pole kwa maana kuwa hii biashara haizuiliki kirahisi Kama anavyodhani akilini mwake.

Hii biashara wafanyaji wanatumia mbinu kubwa sana na akili kila kunapokuja wanatoka na mbinu mpya na kutengeneza vituo namna gani wanaweza kupatikana na wakafanya biashara yao pasipokubughuziwa na mamlaka husika.

Sasa biashara hii inakuwa sana madada poa wanajificha kweny magest, wanachokifanya nikuchanga nakukodi chumba gest wanaweka kambi humo ikifika mida ya usiku kazi yao inaendelea hii nimeishuhudia kwa macho yangu bila kusimuliwa.

Nilishawahi kulalala gest moja Mtwara mjini ilipofika saa nne usiku niligongewa mlango nilipokwenda kufungua nilikutana na sura zaabinti wadogo kabisa chuchu mchongoma.

Walivalia mavazi ya kazi waliniambia "kaka tunatoa huduma Kama hujiskii kulala peke yako chagua mmoja wetu hapa''

Huku wakijizungusha wakionyesha Mambo yao ili uchague Kama bidhaa iliyopo dukani.

Hii pia niliiona kahama nilipokuwa nasafiri kwenda kigoma ilitubidi tulale kahama, nilichukua chumba nikaoga Kisha nililala. Mishale ya saa tatu mlango uligongwa kuuliza nani nikajibiwa wageni wako.

Kufungua mlango nakutana na sura za mabinti watatu waliniambia "kaka tupo chumba namba fulani Kama unataka huduma njoo utugongee hela yako tu"

Walikua Wanafanya hivyo kwa kugonga kila chumba nakutangaza biashara yao hiyo.

Hii pia niliiona karatu, Sasa hii kidogo ipo tofauti, nilifika gest moja pale mishale ya saa mbili usiku nilimuuliza muhudumu kuwa vyumba vipo?

Alinijibu vipo lakini vimelipiwa? hii ilinishangaza kidogo nilimuuliza kivipi?

Na yeye alijua kuwa Mimi ni mgeni, ndipo akaniambia twende nikakuonyeshe vyumba. Basi akawa anafungua kila vilikua vimeegeshwa tu, kila chumba alichofungua nilikuta mwanamke kanifunga mtandio tu na akitoa tabasamu la karibu mteja.

Nilikagua vile vyumba mpaka mwisho nilimuuliza malipo yapoje, alinijibu malipo na alisema kwenye hii pesa ni pamoja na huyo mwanamke uliyemkuta katika chumba.

Kwa kuwa nilikuwa ni mgeni kwa kweli nilistaajabika sana.

Hii nyingine niliiona kwenye mabaa, hizi baa kuna mabinti wanajiuza sana lakini wanakua wamejificha katika kivuli Cha uhudumu, ila kiuhalisia ukimtaka anakuambia nenda kaunta kaache elfu kumi nafikiri hii wazee wa maji wananielewa nini ninachomaanisha hapa.

Mitandao ya kijamii telegram, wasap huko badoo, mabinti Wanafanya biashara unakuta yeye anahakikisha simu yake Ina chaji yakutosha na bando anakua anasikilizia michongo za wapi akale bata.

Binafsi sidhani Kama hii biashara inaweza kuisha, haiwezi kuisha hata kwa dawa maana ni biashara pendwa sana katika hii dunia siyo Tanzania tu.
 
Nimeisoma Hadi mwisho sijaona hatua ulizochukua kwenye maeneo yote hayo,badala yake nimehic ulikuwa nawe ni mteja ukachagua na kujipumzisha
 
Aisee hii nimekutana nayo Kahama enzi napiga Safari za mwanza kakonko hapo mtendeli.. hao raia BARABARANI huwapati Ila wapo nyumba za kulala WAGENI ukichukua TU chumba Basi utaona wanavyokupigia hesabu utadhani unadeni lao. Hawa watu ni ngumu kuwadhibiti Wana mtandao mpana na mbinu nyingi Kama wafuasi wa al-shabab.
 
Aisee hii nimekutana nayo Kahama enzi napiga Safari za mwanza kakonko hapo mtendeli.. hao raia BARABARANI huwapati Ila wapo nyumba za kulala WAGENI ukichukua TU chumba Basi utaona wanavyokupigia hesabu utadhani unadeni lao.
Hawa watu ni ngumu kuwadhibiti Wana mtandao mpana na mbinu nyingi Kama wafuasi wa al-shabab
Kweli kabisa mkuu upo sahihi
 
Back
Top Bottom