Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
Kama Buguruni, Kimboka na Sinza Ddar; mjini Iringa ukahaba wazi wazi tena huku ni zaidi ya Dar. Ufuska unafanywa mchana kweupe. Nenda Holiday-in bar Frelimo bei ni kuanzia 15,000 na kuendelea hapo ni pamoja na room. Pia kuna tetesi kuwepo madanguro ya siri maeneo mengi ikiwemo Kihe
Serikali ihalalishe tu uuzaji wa miili maana imefumbia macho suala hilo.
Pale mindu bar vipi siku hizi hawapatikani?