Biashara ya miili Iringa noma

Biashara ya miili Iringa noma

Hata hapa Karatu ni noouma kuna guest house inaitwa Beijing wamejaa vyumba vyote bei ni nyekundu yako tu
 
Halafu chakushangaza tafiti zinasema wanawake zaidi ya 98% wanapigwa kavu. Yani malaya atatembea na watu 100 kwa wiki, lakini katika hyo 100 unakutwa kapigwa kavu na watu c chini ya 5, sasa kwa mwezi anapigwa kavu na na watu 20 tofauti.
 
Sio Iringa pekee na wala sio mikoani tu, Nilikua Kilimanjaro wilaya ya Siha kijiji cha Engarenairobi, huko noma pia tena sana, Siku moja nimetoka zangu site nafika kwenye gesti niliyokua nimefikia mhudumu ananambia kuna bibie alikuja akimtafuta jamaa ake mhudumu akahisi labda ni mm, nikamwambia sina miadi na bibie yeyote kisha nikajoke kidogo nikisema kama akikosa mtu anipasie, mhudum kwa shauku kanambia broo unataka niachie namba ya simu ukirudi utamkuta kwenye chumba chako, ikanbidi nikae ili nimdadisi vizuri kuhusu hiyo mambo inakuaje kuaje.
Kanambia broo hii biashara hapa iko juu sana tena thamani yake inapanda sana kipindi cha mavuno ya viazi, unaweza ukawa ndani na bibie akapigiwa simu na jamaa kwa dau kubwa kuliko lako akakuacha geto na kwenda kwa mshikaji, lakini mavuno yakiisha utampata bibie hata kwa 5000 mpaka asubuhi bila shida.
mambo haya c mijini tu na tusiwalaumu watu wa Iringa, Dar na kwingineko, hii issue ni ya nchi nzima mijin kwa vijijini, Tusitegemee serikali kukomesha haya mambo, kama imeshindwa kukomesha vinguo vya aibu, tazama wanake wavaavyo siku hizi! Mungu wangu tusaidie kwa kweli. Uchi wa mwanamke ukiondoa uso na viganja vya mikono na miguu vilivyobaki vyote ni uchi na vinastahili kusitiriwa. Tazama vijisuruali wavaavyo kina dada, utafikiri kajipaka rangi mwilini na kutembea hivo, kinguo kinabana na kuonesha umbile halisi la mhusika, BADILIKENI DADA ZETU.

Mkuu nawenge ulienda kununua viazi nini?
 
Halafu chakushangaza tafiti zinasema wanawake zaidi ya 98% wanapigwa kavu. Yani malaya atatembea na watu 100 kwa wiki, lakini katika hyo 100 unakutwa kapigwa kavu na watu c chini ya 5, sasa kwa mwezi anapigwa kavu na na watu 20 tofauti.

du, hatariiiiiiii!
 
Yaani mie naona nimenyata kweli. Halafu naonekana masikini. Miaka nusu karne na sijawahi kutongozwa. Itabidi kwenda kwa mganga sasa...

hahahahahaaaah,,,,,,,,eti UMENYATA,,,,,,,,utakuwa wa kusini wewe.
 
mkuu watu wanatafuta Pesa kwaajili ya matumizi hiyo ni Moja ya matumizi

Mkuu, kuna matumizi mazuri na matumizi mabaya, mfano unatumia hela yako kumhonga mwalimu Mkuu/Mkuu wa shule ili mtoto wako aache masomo, kama hiyo anayoishangaa mdau ya 1 night = 100, 000/= ukinunua dhambi! n.k. Namuunga mkono mdau anayeshangaa hilo.
 
Mkuu nimecheka sana kwa huo Mfano wako watu tunatofautiana Unaambiwa kupanga ni kuchagua Manake mwingine anafikiria kuwekeza kwenye KESHO ya Familia yake lkn mwingine anaamua kuwekeza kwenye mapaja ya Mtaani fully matatizo....
 
Mkuu, nafikiri hapo tuungane na wanaosema serikali iamue kuhalalisha biashara hii ili wahusika walipe kodi, na kodi hizo zisaidie na watu wengine maana inaonekana wahusika wana pesa na hawajui wazitumieje badala yake wanaamua kujiangamiza! Na hili si jambo geni kwani kama wadau wengine wanavyosema ni kweli katika nchi zingine lipo na kodi za uzinzi wao zinakuja hata nchini kwetu kama msaada au mkopo.
 
hii ni nchi nzima, nchi nzima...umaskini noma

Waberoya ndugu yangu, hii biashara si kwasababu ya umasikini wa nchi yetu. Ujerumani ni moja ya nchi ambazo hazijakubwa sana na hii economic crisis inayoendelea. Lakini kuna mitaa imejaa machangu mchana kweupe, angalia hii video iliyochukuliwa kwenye viunga vya Berlin.

Last edited by a moderator:
na ukiwa Morogoro tembelea Kahumba bar, Moro Night na eneo moja jirani na Msavu Bus Stand ambalo limebatizwa jina la Itigi. Hapo utapata papuchi za kumwaga, kuanzia buku 3 mpaka 5---kuna papuchi za chapchap utapiga mpaka utalegea. Mwezi wa May nilipotembelea Moro nilichezea sana hizo papuchi.

Hapo itigi napafahamu sana. Hiyo ni nightclub. Hapo usipokuwa makini unaweza kumaliza posho ya safari ya wiki mbili kwa siku moja. Vipi Arusha pale Mrina?
 
Haya,hebu tuulizane ni nn chanzo cha haya?
Je ni ccm?
 
Lbda wawe wametokea sehemu zingine za Tz... but Wanyalu?!!! Hawalipi aisee... hata kwa buku.
 
Back
Top Bottom