Ignorant
Member
- Mar 9, 2008
- 27
- 6
Nimeamua kujikita katika biashara ya mboga mboga kama vile pilipili hoho, karoti na mboga za majani etc. Ningefurahi sana kufanya biashara na soko la Ulaya.
Natambua kua soko la ulaya linahitaji standards za juu, consistency, pamoja na discipline na nafurahi kusema kwamba nimejiandaa kwa hilo. Hata hivyo ombi langu ni kuunganishwa na masoko (wanunuzi) hata kama itanipasa kusafirisha mimi mwenyewe. Cha msingi ni kua na uhakika wa mahali pa kuuzia (itahusisha uhakika wa bei na kiwango cha kuzalisha).
Pia kama kuna mzoefu wa biashara hii anaweza kushare uzoefu wake.
Natanguliza shukrani

Soko la kuuza mboga na matunda nje lipo. Unachotakiwa kukifanya ili upate soko la uhakika na bei bora ni lazima ulime kilimo cha organic (naomba msaada neno la kiswahili).
Tayari lipo shirika hapa nchini linalofundisha na kukagua mashamba ya organic, kama kilimo chako kikipasishwa kuwa ni cha organic utapatiwa cheti kinachotambulika kimataifa, ambacho kitakuwezesha kuuza nchi za ulaya bila ya matatizo.
Unaweza kuwaona hapa:-
Welcome to TanCert
MKUU KUHUSU BIASHARA YA MBOGA NI NZURI SANA BUTI LAZIMA UWE UMEJIPANGA VYA KUTOSHA,
1. Kama utazalishia arusha na kuuza Dar ni lazima uwe na magari ya freezer au usafirishe kwa ndege make kwa sem trela mboga ziatozea njiani
2. Kuhusu Duka Yapu unaweza kuwa na Duka lako mithili ya Supermarket ila ni lazima liwe kubwa na liwe location nzuri na ni lazima uwalenge watu fulani au kundi fulani
3. Kuhusu bei mimi si dhani kuna haja tena ya kupanga mafungu mkuu hapa unatakiwa kuzi park kwenye mifuko maalumu kabisa
4. Kuhusu kununua matunda kwa wakulima na kuya grade hapo itakuwa ngumu mkuu, kama umedhailia kuzalisha bila kutumia chemical hayo matunda ya kutoka kwa watu wengine si yatakua yamezalishwa na chemical?
5. Na nakushauri kwa kuanza usauply kwenye supermarket then ukipata mtaji wa kutosha fungua supermarket yako itakayo kuwa inauza mboga na matunda labuda na vyakula vingine tu
MKUU HAYO YA LESENI NAKUSHAURI UWAONE WAHUSIKA MAKE ZINATOLEWA BILA MALIPO