Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

Mada hajaeleweka hapa, jamaa keshapata wateja tayari anachotaka kufahamu ni hizo point alizoziweka, yaani jinsi ya kupack, gharama za usafirishaji kwa ndege na vibari vya kusafirisha matunda. Sasa ukianza kumwambia kuuza shida sijui nini yeye wala hana hiyo shida, yaani wateja anao keshatafutiwa na jamaa yake, wateja wanasubiri mzigo ufike wanunue. Kwa gharama inategemea unapeleka huo mzigo nchi gani? lakini haiwezi kuzidi 10 USD kwa kilo.
 
Tamaa kwamba? Mkuu ndo ukweli huo Soko la Ulaya kuuza vyakula ni ngumu huo ndo ukweli wenyewe, au uliataka ni mdanganye kwamba ni simple tu?

Watanzania huwa hatupendi kuelezwa ukweli tunapenda tudanganywe na tuelezwe maneno matamu ambayo mwisho wa siku hayapo, Ndo haya Magufuri anasema,

Nilio yasema aende kwa TANTRADE watamueleza haya haya sasa sijui ulitaka nidanganye
Ulipowe neno magufuli ndio umeharibu uzi wako!! Btw jamaa kasema ana mteja tayari, so mpeni jinsi ya kufikisha mzigo nje
 
Mada hajaeleweka hapa, jamaa keshapata wateja tayari anachotaka kufahamu ni hizo point alizoziweka, yaani jinsi ya kupack, gharama za usafirishaji kwa ndege na vibari vya kusafirisha matunda. Sasa ukianza kumwambia kuuza shida sijui nini yeye wala hana hiyo shida, yaani wateja anao keshatafutiwa na jamaa yake, wateja wanasubiri mzigo ufike wanunue. Kwa gharama inategemea unapeleka huo mzigo nchi gani? lakini haiwezi kuzidi 10 USD kwa kilo.
Hao wateja ndo wanampa vibari? Hata kama una wateja kibali hutolewa na Serikali husika, kama unawateja lets say MAREKANI, huwezi tu kusafirisha. atakaye toa kibali ni Serikali ya USA kwa vigezo vile vile.

Kama anawateja si ndo wanamwambia wanataka apack vipi? packaging mara nyingi hutegemea na Consumer wanatakaje, so kwenye packaging wateja wake wanaweza msaidia jinsi wanavyo taka packaging iwe.

Lazima usajiri biashara hiyo haina ubishi.
Lazima uwe na TIN number na document zingine.

Laizima TFDA na TBS wa aprove hizo mboga kwamba zina ubora wa kuuzwa nje. Ila pamoja na TBS na TFDA ku aprove pia mamlaka ya huko unako peleka lazina wa aprove pia
 
Mada hajaeleweka hapa, jamaa keshapata wateja tayari anachotaka kufahamu ni hizo point alizoziweka, yaani jinsi ya kupack, gharama za usafirishaji kwa ndege na vibari vya kusafirisha matunda. Sasa ukianza kumwambia kuuza shida sijui nini yeye wala hana hiyo shida, yaani wateja anao keshatafutiwa na jamaa yake, wateja wanasubiri mzigo ufike wanunue. Kwa gharama inategemea unapeleka huo mzigo nchi gani? lakini haiwezi kuzidi 10 USD kwa kilo.
Mkuu haya mambo hayahitaji lamuri wala porojo, Mzigo hupimwa kwa kilo na ukubwa wake. hiyo Dolla 10 umeipata vipi? uko DHL? usha wahi peleka mzigo DHL? huwa wanafanyaje? wanacho fanya ndo kinafanywa na Wenye ndege. Ni mpaka mzigo wa uone.

Pia lazima awe na Kampuni ya kufanya kucrea mizigo yale
 
Kama asali ya Tabora hawataki kuisikia hao wazungu wanadai nyuki wanatilia pollen ya maua ya tumbaku na eti ina nicotine sasa jiulize hayo matunda na mbogamboga jirani na mgodi wa dhahabu wa wachina.
Nikiongea ukweli wanasena unakatisha tamaa, ku export kitu inaitwa chakula ni kazi pevu haijalishi tiyari una wateja wanasubilia mzigo au la.

Wale ni Afya kwanza mambo mengine baadae.
Kama hulimi Organic sahau ku export huo ndo ukweli. bila hizo mboga na matinda kulinwa Organic labda kuuza Kongo hapo.
 
Habari wakuu,

Kuna ndugu yangu yupo nchi za nje amenitafutia wateja wa kununua matunda, naomba mwenye ujuzi anisaidie ushauri kwenye hii biashara kwenye mambo fuatayo;

(1)Napenda kujua ndege za mizigo zinatoza sh.ngapi kwa uzito.
(2)Namna ya kupata vifaa vya package na gharama zake hapa bongo.
(3)Taratibu za kiserikali/kisheria za usafirishaji matunda nchi za nje
(4)Taratibu za kiafya

Karibuni wakuu kwa mchango wenu!
mi naexport matunda, kwa ndege 5usd/kg na packaging za mabox kiwanda kipo nyerere road, huwa natoa oda ya carton za box mill 7 hadi 20 ili gharama iwe chini. so wana MOQ yao kiwandani pamoja na branding.All in all hakikisha hao watu isiwe mali kauli, washaniliza mwanzoni. so hakikisha wanatumia LC, irrevocable ya bank inayoaminika ama wanatanguliza down payment 30% na ukishamaliza packaging zako ,na freight forwader anakufanyia documentation, huwa nawatumia kuehne And Nagel wapo nyerere Road. ukiiscan na kuwatumia wanamalizia payment. Karibu godown yangu ipo nelson mandela Road, Tabata ndo nafanyia packaging.
 
kuna certificate ya afya kuipata ni dola 100
 
Asante sana mkuu kwa Maelekezo mazuri!,nicheki pm tuwasiliane vizuri!
 
mi naexport matunda, kwa ndege 5usd/kg na packaging za mabox kiwanda kipo nyerere road, huwa natoa oda ya carton za box mill 7 hadi 20 ili gharama iwe chini. so wana MOQ yao kiwandani pamoja na branding.All in all hakikisha hao watu isiwe mali kauli, washaniliza mwanzoni. so hakikisha wanatumia LC, irrevocable ya bank inayoaminika ama wanatanguliza down payment 30% na ukishamaliza packaging zako ,na freight forwader anakufanyia documentation, huwa nawatumia kuehne And Nagel wapo nyerere Road. ukiiscan na kuwatumia wanamalizia payment. Karibu godown yangu ipo nelson mandela Road, Tabata ndo nafanyia packaging.
Kuna vipimo ulivyofanya kabla ya kutuma mzigo?? Ni ni vipi ukiacha hivi vya tbs?
 
Tamaa kwamba? Mkuu ndo ukweli huo Soko la Ulaya kuuza vyakula ni ngumu huo ndo ukweli wenyewe, au uliataka ni mdanganye kwamba ni simple tu?

Watanzania huwa hatupendi kuelezwa ukweli tunapenda tudanganywe na tuelezwe maneno matamu ambayo mwisho wa siku hayapo, Ndo haya Magufuri anasema,

Nilio yasema aende kwa TANTRADE watamueleza haya haya sasa sijui ulitaka nidanganye
Masikio ya watanzania yamezoea zaid kusikia uongo mzuri ila ukwel mchungu hayataki kusikia kbsa
 
Mkuu mtoa mada, achana na porojo za wadau na kukukatisha tamaa, wakati hawawezi hata kupeleka biashara mkoa mwingine kwa Woga! nivumilie Tu kidogo ntakuja kukupa Details za kutosha.

Binafsi niko katika mchakato wa kupeleka Mbogamboga, Matunda na Chakula Oman.

Nikirudi nikute umeshasema unategemea kupeleka mzigo wako nchi gani.
 
Na nn nakusubiri
 
OK,nakusubiri Kiongozi!
 
Back
Top Bottom