Biashara ya Madawa ya Kulevya: S.H. AMON atajwa!

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
63,919
Reaction score
97,961
Katika mjadala wa startv:

TAnzania na vita ya udhibiti wa madawa ya kulevya, mfanyabiashara maarufu mwenye utajiri wa kutisha atajwa, mfanyabiashara huyo mwenye majengo kariakoo na ana miliki hotel mbili ubungo alianza kuuza enzi hzo wakati anafanya biashara ya kuuza bidhaa za urembo.

ALPHONCE TEMBA AMBAYE NI MKURUGENZI WA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI ALIYAZUNGUMZA HAYO WAKATI AKIFANYA MAZUNGUMZA NA JOYCE MWAKALINGA STARTV.
 
Ni Sauli Amon aka S.H AMON Alianza baada ya kupewa mchongo na mtu wa kwanza kuleta madawa kutoka italy,italy shoes.

.......................................
Ukipata Ujumbe wa chuki au matusi futa delete kabisa.
.......................................
 
nani wakumvisha paka kengele? Ccm pa1 na baba yao hawawezi,jibu ni moja tu ni kuchagua mtu safi Dr slaa na mengi saaana zaidi ya hawa mnaowajua watajulikana.
 
Ni Sauli Amon aka S.H AMON Alianza baada ya kupewa mchongo na mtu wa kwanza kuleta madawa kutoka italy,italy shoes.

.......................................
Ukipata Ujumbe wa chuki au matusi futa delete kabisa.
.......................................
wabongo hapo mshapata nafasi ya kuchafuana.hiyo inahusu Ninni na hawa punda walioko sasa??
 
Saul Amon,yule tajiri wa kinyakyusa?

ningeshangaa huyu mtu asingekuwa mmojawao. Siwezi kupinga hata chembe ushiriki wake. Huyu jamaa kuna kipindi aliisahau nyumba yake aliyojenga mikocheni, mpangaji alikaa zaidi ya miaka miwili bila kodi. Bahati nzuri siku ya kuitembelea hakumtoza kodi.
 
Hawa watu ni wa kufilisiwa tu vumbav zao huu utajiri mtu anakuwa nao peke ake wkt wengine hawawez hata kununua sukari....
 
UZUSHI MTUPU HU. SH Amon ameanza biashara zamani kabla ya majina makubwa kama Mengi na Dewji mbunge. Alianza na kuvusha sukari na baadaye vipodozi vilivyopeleka kujenga kiwanda Salasala. Kwenye list ya Balali aka EPA mara kadhaa ametajwa, lakini mpaka leo hajakamtwa, inawezekana ushahidi hautoshi. Ni mtu consistent katika biashara na anasimamia kile anachokijua na kuamini. Isingekuwa kutokwenda shule kubwa labda angekuwa billionea mkubwa kabisa EA.

Tujitahidi kutafuta data na is kuzusha hovyo hovyo.
 
Bhalekhe gwe,bakhaa na khamo.Umundhu gwa nalori jura.
 
Back
Top Bottom