Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Keshatafunwa huyo...!
hahahahhaa,unampagawisha mwenzio wewe
Keshatafunwa huyo...!
kazi ipo .
Bhalekhe gwe,bakhaa na khamo.Umundhu gwa nalori jura.
halafu bado ni mzima ?
hata wewe.. suburi kidogo tutakupata .....
kusema kasema na tushamjua xo wat next..???!!!....angekuwa muizi wa kuku na maandazi hapo sawa tungekutana segerea.
ndio huyu huyu jamaa ambaye kawavua kyupi asilimia 80 ya wanawake wanouza kwenye maduka yake?
Hata awe mke wa mtu
watz tushaambiwa ccm
kidumu, why tusichague chadema ambacho ni pipa? Tutahukumiwa kwa ugumu
wetu aiseee
Ni Sauli Amon aka S.H AMON Alianza baada ya kupewa mchongo na mtu wa kwanza kuleta madawa kutoka italy,italy shoes.
.......................................
Ukipata Ujumbe wa chuki au matusi futa delete kabisa.
.......................................
S.H. AMON ndiyo nani?
ningeshangaa huyu mtu
asingekuwa mmojawao. Siwezi kupinga hata chembe ushiriki wake. Huyu
jamaa kuna kipindi aliisahau nyumba yake aliyojenga mikocheni, mpangaji
alikaa zaidi ya miaka miwili bila kodi. Bahati nzuri siku ya kuitembelea
hakumtoza kodi.
UZUSHI MTUPU HU. SH
Amon ameanza biashara zamani kabla ya majina makubwa kama Mengi na Dewji
mbunge. Alianza na kuvusha sukari na baadaye vipodozi vilivyopeleka
kujenga kiwanda Salasala. Kwenye list ya Balali aka EPA mara kadhaa
ametajwa, lakini mpaka leo hajakamtwa, inawezekana ushahidi hautoshi. Ni
mtu consistent katika biashara na anasimamia kile anachokijua na
kuamini. Isingekuwa kutokwenda shule kubwa labda angekuwa billionea
mkubwa kabisa EA.
Tujitahidi kutafuta data na is kuzusha hovyo hovyo.
UZUSHI MTUPU HU. SH Amon ameanza biashara zamani kabla ya majina makubwa kama Mengi na Dewji mbunge. Alianza na kuvusha sukari na baadaye vipodozi vilivyopeleka kujenga kiwanda Salasala. Kwenye list ya Balali aka EPA mara kadhaa ametajwa, lakini mpaka leo hajakamtwa, inawezekana ushahidi hautoshi. Ni mtu consistent katika biashara na anasimamia kile anachokijua na kuamini. Isingekuwa kutokwenda shule kubwa labda angekuwa billionea mkubwa kabisa EA.
Tujitahidi kutafuta data na is kuzusha hovyo hovyo.
S.H. AMON ndiyo nani?
acheni ujinga
SH Amon alipata utajiri wake kupitia almas Shinyanga
Dada yake alikua ameolewa na askari mlinzi wa pale, ambae alikua anaiba almasi ndani yamgodi na kuzificha katika kikopo ndani. Mzigo ulipokua wa kutosha, akamuita mdogo wake , akatoroka na kikopo mpaka zambia
Baada ya miaka kadhaa , ndio akarudi Mbeya na kuanza kufanya biashara za kufa mtu
Jamaa anayo hela, na wala haihusiani na madawa
Na ni kweli ni mzinzi, ana UKIMWI. So, haoni tabu kufungua suruali ukizingatia pesa anayo
Umeambiwa anauza unga umekataa kuwa si kweli,wewe unasema ana UKIMWI tukuamini?
Au aliwahi kukutafuna uroda hivyo unampakazia? TAKE CARE