Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Acha uongo sauli alikuwa anauza ndizi tukuyu hakuwah fanya biznes ya madin,sembe ndio imemtoa
Baada ya ndizi Tukuyu alienda Tunduma kufanya biashara ya viatu...Baada ya hapo Akahamia Dar!!!!
Acha uongo sauli alikuwa anauza ndizi tukuyu hakuwah fanya biznes ya madin,sembe ndio imemtoa
Aliyeongea ni mtu mwenye data za kutosha na ameiomba serikali wamtafute awape data zote na akamtaja hadi huyo aliyemuingiza sauli kwenye biashara ya sembe,aliyemuingiza saul kwenye biznes hyo ni mfanyabiashara wa kwanza kuanza kuleta unga kupitia viatu vya mitumba kutoka italy.
muuza sembe mwingine huyu hapa anataka kupita nzowa njoo huku...
na yule mama alotajwa na Obama kuwaa muuza unga maarufu naye ana sifa hii,,,,mtaani kwake alisifika kuwa ana huruma na hupenda sana kusaidia,kuna muuza unga mmoja ni mtanzania yupo SA yeye huwa akija anasaidia sana nyumba za ibada kama kulipia bili za umeme na maji,Mimi hayo mengine siyajui,lakini jamaa ana utu sana yule,sishangai kutomtoza huyo mpangaji.
Baada ya ndizi Tukuyu alienda Tunduma kufanya biashara ya viatu...Baada ya hapo Akahamia Dar!!!!
ndio huyu huyu jamaa ambaye kawavua kyupi asilimia 80 ya wanawake wanouza kwenye maduka yake?
Hata awe mke wa mtu
Inawezekana maana huyu jamaa alishahamisha wakaazi wengi wa eneo la RIVERSIDE akiwajengea nyumba na kuwapa mahela kibao ili wahame kupisha biashara zake.
Ndiye mmiliki wa LANDMARK HOTELS zipo nyingi kuanzia TUKUYU pale kilimani hadi Dar.
Wengine husema anamtumikia Rais mstaafu wa nchi jirani wakisema vitega uchumi ni vya Rais huyo, lakini pia huyu jamaa anaajiri Wanyakyusa asilimia 90 na kufanya na kila mfanyakazi wa kike NGONO.
Kuna tetesi nyingine juu yake kuwa ni HIV+.
ndio huyu huyu jamaa ambaye kawavua kyupi asilimia 80 ya wanawake wanouza kwenye maduka yake?
Hata awe mke wa mtu
Huyu jamaa ndie alipewa tenda ya
kupangisha mwaziri kwenye hoteli yake ya ubungo wakati JK anaingia madarakani. Kwa tenda hiyo ndio akaongeza hoteli ya pili hapo hapo
ulintungulu fiju!Unamjua sana!! Nenda Tukuyu utapelekwa hadi Landmark Hotel ya tukuyu utalala bure wakati ukimsubiri.
...maskini yule dadaa..! ndo maana alikuwa hataki kuacha kazi paleee..!!??
Uzima utokee wapi?halafu bado ni mzima ?
mchumba wangu amefanya kazi kule mwaka wa 3 sasa, hataki kuacha kabisa hata baada ya kumtafutia kazi yenye kipato zaidi ya pale!! duh.
Kusema ule ukweli jamaa amewaka,nina maana ana ngoma na hii ilipelekea kifo cha mkewe wa kwanza mama Sarah RIP,jamaa baada ya kujishtukia akawa anakula madawa yaliyokuwa yakiuzwa bei chafusana kipindi hicho,na pia kufanya blood transfusion mara kadhaa na hilo ndilo limemsaidia awepo mpaka sasa,lakini yule mama hakujua chochote mpaka alipolazwa pale tmj mikocheni kushtuka tayari ilikuwa too late akafa.Huyo hawezi kuwa mzima,Mbona skendo yake imeenea sana...!
Bhalekhe gwe,bakhaa na khamo.Umundhu gwa nalori jura.