Biashara ya Madawa ya Kulevya: S.H. AMON atajwa!

UZUSHI MTUPU HU. SH Amon ameanza biashara zamani kabla ya majina makubwa kama Mengi na Dewji mbunge. Alianza na kuvusha sukari na baadaye vipodozi vilivyopeleka kujenga kiwanda Salasala. Kwenye list ya Balali aka EPA mara kadhaa ametajwa, lakini mpaka leo hajakamtwa, inawezekana ushahidi hautoshi. Ni mtu consistent katika biashara na anasimamia kile anachokijua na kuamini. Isingekuwa kutokwenda shule kubwa labda angekuwa billionea mkubwa kabisa EA.

Tujitahidi kutafuta data na is kuzusha hovyo hovyo.

Kuvusha sukari na vipodozi unamaanisha biashara ya magendo ya sukari na vipodozi? Kama alifanikiwa kuvusha sukari kimagendo atashindwa nini kufanya biashara ya sembe? Dili ni zile zile; uvushaji wa bidhaa kimagendo, kwa hiyo wakati anavusha sukari na sembe humohumo pia! Mfuko wa kilo 50 wa sukari unagawanywa, chini sukari katikati sembe na juu sukari.
 
ningeshangaa huyu mtu asingekuwa mmojawao. Siwezi kupinga hata chembe ushiriki wake. Huyu jamaa kuna kipindi aliisahau nyumba yake aliyojenga mikocheni, mpangaji alikaa zaidi ya miaka miwili bila kodi. Bahati nzuri siku ya kuitembelea hakumtoza kodi.

Mimi hayo mengine siyajui,lakini jamaa ana utu sana yule,sishangai kutomtoza huyo mpangaji.
 
ndio huyu huyu jamaa ambaye kawavua kyupi asilimia 80 ya wanawake wanouza kwenye maduka yake?
Hata awe mke wa mtu
mchumba wangu amefanya kazi kule mwaka wa 3 sasa, hataki kuacha kabisa hata baada ya kumtafutia kazi yenye kipato zaidi ya pale!! duh.
 
Anawavua au wanavua wenyewe? maana njaa mbaya .....

ndio huyu huyu jamaa ambaye kawavua kyupi asilimia 80 ya wanawake wanouza kwenye maduka yake?
Hata awe mke wa mtu
 
Katika mjadala wa startv:

TAnzania na vita ya udhibiti wa madawa ya kulevya, mfanyabiashara maarufu mwenye utajiri wa kutisha atajwa, mfanyabiashara huyo mwenye majengo kariakoo na ana miliki hotel mbili ubungo alianza kuuza enzi hzo wakati anafanya biashara ya kuuza bidhaa za urembo.

ALPHONCE TEMBA AMBAYE NI MKURUGENZI WA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI ALIYAZUNGUMZA HAYO WAKATI AKIFANYA MAZUNGUMZA NA JOYCE MWAKALINGA STARTV.

Majanga. Kila mfanyabiashara mkubwa anahusika na sembe.
 
mchumba wangu amefanya kazi kule mwaka wa 3 sasa, hataki kuacha kabisa hata baada ya kumtafutia kazi yenye kipato zaidi ya pale!! duh.
Hahahhahaaa..................anakamuliwa vizuri.
Kipato nje ya ujira rasmi unalipa sana.:A S-fire1:
 
mchumba wangu amefanya kazi kule mwaka wa 3 sasa, hataki kuacha kabisa hata baada ya kumtafutia kazi yenye kipato zaidi ya pale!! duh.

Keshatafunwa huyo...!
 
UZUSHI MTUPU HU. SH Amon ameanza biashara zamani kabla ya majina makubwa kama Mengi na Dewji mbunge. Alianza na kuvusha sukari na baadaye vipodozi vilivyopeleka kujenga kiwanda Salasala. Kwenye list ya Balali aka EPA mara kadhaa ametajwa, lakini mpaka leo hajakamtwa, inawezekana ushahidi hautoshi. Ni mtu consistent katika biashara na anasimamia kile anachokijua na kuamini. Isingekuwa kutokwenda shule kubwa labda angekuwa billionea mkubwa kabisa EA.

Tujitahidi kutafuta data na is kuzusha hovyo hovyo.

magendo hayo mkuu,unahisi wamtetea kumbe wamchongea,utatafutwa ukathibitishe hapo kwenye bluuuuuuu
 
mchumba wangu amefanya kazi kule mwaka wa 3 sasa, hataki kuacha kabisa hata baada ya kumtafutia kazi yenye kipato zaidi ya pale!! duh.

hehehehehehee,,,rejea maneno ya C.T.U
 
Last edited by a moderator:
Katika mjadala wa startv:

TAnzania na vita ya udhibiti wa madawa ya kulevya, mfanyabiashara maarufu mwenye utajiri wa kutisha atajwa, mfanyabiashara huyo mwenye majengo kariakoo na ana miliki hotel mbili ubungo alianza kuuza enzi hzo wakati anafanya biashara ya kuuza bidhaa za urembo.

ALPHONCE TEMBA AMBAYE NI MKURUGENZI WA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI ALIYAZUNGUMZA HAYO WAKATI AKIFANYA MAZUNGUMZA NA JOYCE MWAKALINGA STARTV.
S.H. AMON ndiyo nani?
 
Huyu S.H AMON ana rafiki yake mwenye hotel ya Lunch Time pale Manzese anaitwa Frank,Huyu jamaa alikuwa choka mbaya Tunduma enzi hizo akaitwa na S.H Amon kwenda dar hakuchukua muda naye akawa kwenye list ya matajiri na kuanza kujenga hotel(LUNCH TIME) wote ni wanyakyusa wa Tukuyu wanatoka kijiji kimoja,wote sasa ni wauza Sembe..! Ukoo wa hawa akina Frank(LUNCH TIME) wote ni choka mbaya sana tajiri ni yeye peke yake!!!!
 
Back
Top Bottom