Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Bingwa Mlonge unapatikana sana lakn kwa ubora na thamani yake kitiba na lishe kiafya kwa mtumiaji thamani uliyoweka mezani hailingani kwanza mbegu zenyew ni nyepesi sana na wewe nahic unahitaji ambaz hazijabanguliwa ndipo zinakuwa nyeusi bu ukibangua ni nyeupe labda niwe cjakuelewa vizur na kam nyeus zikiwa zimebanguliwa sorry hz sijawah kuziona.
Sasa kwa wepesi wake kuanzia 50kg@5000 umekaba sana coz 1kg yenyewe ni package yakutosha sana so 50? Aisee, panda dau Man viru2bisho mbegu Moringa Oleifera watu wakulete upige ela kwa stail yako ila dah ucbane sana.
 
jamani simuweke na picha na wengine tuine pia msisahau kutuambia zina manufaa gani kwa mtumiaji.
 
Kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza nina mbegu za mlonge kilo 100 nauza 10000/=@kilo
Mzigo upo Dodoma
Kwa wale wanaohitaji tafadhari tuwasiliane

kwa namba 0676747926
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…