utasikia nguvu za kiume, mnadanganywa Sanatupe faida zake ili tupate morali ya kutumia hiyo kitu
Hahahaaaaaautasikia nguvu za kiume, mnadanganywa Sana
Namba za simu zipo hapo juuUko wapi mkuu na unauzaje? Huo unga ukiuchanganya na asali na Habat Sawdaa ni tiba ya maradhi kibao! Ni pm namba yako
Namba za simu zipo hapo juu
Kwa sasa Unga wa Majani ya Mlonge Tsh 20000/-@ 1kg na Unga wa Mbegu za Mlonge ni Tsh 25000/-@ 1kgUkitupia hapo bei utapunguza usumbufu wa maswali, weka bei ili kama inaendana na kilichopo mfukoni tukuendee hewani!
😀😀 unaogopa isije ikawa kasaga mchicha hahahahahaahahahaHapo...cha muhimu uwe unga wa majani ya mlonge kweli........maana!!!
Afadhali ikiwa ni mchicha, je ikiwa ni Bangi !!!😀😀 unaogopa isije ikawa kasaga mchicha hahahahahaahahaha
Hivi huu unga unasaidia nini?Natafuta mtu anayeuza unga unaotokana na mbegu za mlonge...