Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Dar ni kubwa sana tuambie ni sehemu gani hapa dar na ilkiwezekana weka pia mawasiliano yako kwani itapendeza pia
 
Traditional medicine and research[edit]
The bark, sap, roots, leaves, seeds and flowers are used in traditional medicine.[3][27] Research has examined how it might affect blood lipid profiles, although it is not effective at diagnosing, treating, or preventing any human diseases.[28][29]

Extracts from leaves contain low contents of polyphenols which are under basic research for their potential properties.[3][30][31] Despite considerable preliminary research on the biological properties of moringa components, there are few high-quality studies on humans to justify its use to treat human diseases.[3]

Potential adverse effects[edit]
Various adverse effects may occur from consuming moringa bark, roots, or flowers and their extracts, as these components contain chemicals that appear to be toxic when eaten. Moringa has been used safely in doses up to 6 grams (0.21 oz) daily for up to 3 weeks.[28]

Moringa oleifera - Wikipedia

10 Powerful Benefits Of Drinking Moringa Every Day by @cravethebenefits 10 Powerful Benefits Of Drinking Moringa Every Day via @mindbodygreen
 
Mimi nauza majani ya mlonge..ambayo hua nakausha ndani..yakikauka naenda mashine nayasaga..nachekecha napaki kwenye vifungashion....faida zake ni hizi:inaweka sukari ya mwili sawa..inaondoa tatizo la presha ya kupanda..inatibu kansa.pumu.aleji..kifua cha mda mrefu..U.T.I .malaria sugu..unasafisha figo n ini..unakufanya usizeeke..unatibu maradhi ya mifupa..unaondoa tatizo la wasiopata usingizi..unatibu nguvu za kiume..unaondoa mabaka mwilini...n.k
nilikuwa nataka hapo kwenye nguvu za kuime. weka namba ya simu vijana waje
 
Mlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean. Mti huu umeripotiwa kutibu zaidi ya magonjwa 300 ikiwemo magonjwa mbalimbali sugu.

MLONGE UNA:

1. Calcium mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng’ombe
2. Una vitamini C mara 7 zaidi ya ile ipatikanayo katika machungwa
3. Potasium mara 15 zaidi ya ile ya kwenye ndizi
4. Una vitamini A mara 10 zaidi ya ile ya kwenye karoti
5. Una protini nyingi mara 9 zaidi ya ile ya kwenye mtindi (Yogurt)
6. Una chrolophly (kemikali ya rangi ya kijani ipatikanayo katika mimea) mara 4 zaidi ya ile ya kwenye nyasi au majani ya ngano (wheatgrass)
7. Una madini chuma (iron) mara 25 zaidi ya yale ya kwenye Spinach
8. Una vitamini A mpaka Z,
9. Una Omega 3, 6, na 9
10. Una Amino Acid zile mhimu zaidi zinazohitajika na mwili
11. Una kiasi cha kutosha cha madini ya Zinc ambayo ni madini mhimu katika kuongeza homoni za kiume na nguvu za kiume kwa ujumla.

MBEGU ZA MLONGE:

- Mbegu zake hutumika kama kiuaji sumu na pia hutibu uvimbe. Hutibu maumivu ya kwenye mishipa, baridi yabisi, gauti, kukamaa mishipa, magonjwa ya ngono na majipu,malaria,shinikizo la juu La damu.
MLONGE NI TIBA NZURI KWA AFYA BORA.
Karibu PM kwa anayehitaji.
Ahsante.



IMG_20180402_114214_727.jpg
Screenshot_20180402-121827.jpg
IMG_20180402_115929_667.jpg
 
Back
Top Bottom