Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Mkuu, hebu tufahamishe matumizi ya hizo mbegu katika kutibu malaria. Asante.
 
Ni unga wa majani ya mlonge au mbegu..?
Unauza..., jee ni pesa ngapi na tutapataje..?
Ni unga wa majani ya mlonge.

Siuzi, huchuma majani yake na kuweka ndani mpka yatakapokauka na badae hutwanga na kuchunga ili nipate unga wake.

Unga huu ni kwa matumizi yangu na wenzangu pale anapohitaji.

Na sasa hivi ninayo majani mengine nimeweka ndani nasubiri mpaka yatakapokauka nipate unga.
 
Mimi ninapotaka kutafuna hata sita au saba ila muda mkubwa zimeniishia mpaka nitakapotafuta nyengine.

Mimi sitafuni kwa sababu ya malaria hutafuna tu kama karanga.
 
Mlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean. Mti huu umeripotiwa kutibu zaidi ya magonjwa 300 ikiwemo magonjwa mbalimbali sugu.

MLONGE UNA:

1. Calcium mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng’ombe
2. Una vitamini C mara 7 zaidi ya ile ipatikanayo katika machungwa
3. Potasium mara 15 zaidi ya ile ya kwenye ndizi
4. Una vitamini A mara 10 zaidi ya ile ya kwenye karoti
5. Una protini nyingi mara 9 zaidi ya ile ya kwenye mtindi (Yogurt)
6. Una chrolophly (kemikali ya rangi ya kijani ipatikanayo katika mimea) mara 4 zaidi ya ile ya kwenye nyasi au majani ya ngano (wheatgrass)
7. Una madini chuma (iron) mara 25 zaidi ya yale ya kwenye Spinach
8. Una vitamini A mpaka Z,
9. Una Omega 3, 6, na 9
10. Una Amino Acid zile mhimu zaidi zinazohitajika na mwili
11. Una kiasi cha kutosha cha madini ya Zinc ambayo ni madini mhimu katika kuongeza homoni za kiume na nguvu za kiume kwa ujumla.

MBEGU ZA MLONGE:

- Mbegu zake hutumika kama kiuaji sumu na pia hutibu uvimbe. Hutibu maumivu ya kwenye mishipa, baridi yabisi, gauti, kukamaa mishipa, magonjwa ya ngono na majipu,malaria,shinikizo la juu La damu.
MLONGE NI TIBA NZURI KWA AFYA BORA.
Karibu PM kwa anayehitaji.
Ahsante.



View attachment 732163View attachment 732164View attachment 732170
Nahitaji unapatikana wapi
 
Pata unga Wa Mlonge ulioandaliwa kitaalamu bila kupoteza virutubisho vyake kwa bei ya sh 5,000 kwa pic . pia kwa uhitaji Wa uwakala Tafadhali wasiliana nasi kupitia 0714239399. ....Tumia Mlonge kwa Afya yako na ya familia yako
 
Hlw for those in need .... Nasambaza unga wa mlonge unao tumika kwa kutibu magojwa mengi sana ... Na muhimu zaidi huimarisha wanaume (nguvu za kiume ). Ukiwa mbeya,songwe Na iringa bidhaa utaipata kwa wepesi zaidi ....
Inbox me ili kuweka order yako mapema kabla mzigo haujaishia ..
#inbox me for more details
 
Mimi nazihitaji sana zile mbegu zenyewe, nitazipata vipi?
 
Kwa kuwa umetaja kuimalisha
Hlw for those in need .... Nasambaza unga wa mlonge unao tumika kwa kutibu magojwa mengi sana ... Na muhimu zaidi huimarisha wanaume (nguvu za kiume ). Ukiwa mbeya,songwe Na iringa bidhaa utaipata kwa wepesi zaidi ....
Inbox me ili kuweka order yako mapema kabla mzigo haujaishia ..
#inbox me for more details
Kwa kuwa umetaja nguvu za kiume hapa hawaji ila inbox yako itajaa wanaume wa Dar.
 
mimi mbona nakula sana hizo mbegu nasioni mabadiliko yoyote kwenye mwili wangu.
 
Products zote za mlonge zinapatikana kituoni...
1. Unga wa m mlongelonge (kijani)
2. Unga wa mlongelonge (mbegu)
3. Mafuta ya mlongelonge ...
Piga simu 0655 - 533543
 
Back
Top Bottom