Biashara ya kuuza gesi za kupikia

Kaka naomba ushauri ni mazingira yapi mazuri kwa kufanyia hii biashara yaani barabarani au uswahilini??pili je kuna upinzani wowote kutoka kwenye aya maduka ya vitu vidogodogo wanaouza gas pia kwa wewe ambaye unauza gas tu?
Kwa uzoefu wangu na Biashara hii. Maeneo yote yote unaweza tega na yanalipa vizuri. Ila ukitega uswahilini ndani ndani wekeza kwenye Mitungi midogo sana na ukikaa road weka na mitungi mikubwa kwa kiasi chake (sio kwamba mingi sana) inaweza ikawa mitungi mikubwa 3 au 2 kila Brand.

Hao wenye viduka vidogo vya mangi halafu wameweka Mitungi wasikuumize kichwa:
1. Fanya delivery
2. Uza Complete kwa bei za offer (mteja aliyenunua Complete kwako ni lazima arudi kubadilisha, hawezi kukuhama)
3. Usipungukiwe na kitu, weka Burner, regulator, Pipe, Clamp, kila kitu na toa ushauri kama mtu mwenye experience (wengi wa watuamiaji gesi ni waoga)
4. Uwe na brand tofauti tofauti
5. Wengi wanaochanganya biashara ya Gesi na duka la Mangi huwa maisha yao si marefu, either wakate/wafilisi mtaji wa gesi au mtaji wa duka sababu ya bei za gesi zipo juu kufananisha na vitu vya dukan kwahyo akicheza vibaya tu mitungi miwili lazima imyumbishe. Mwisho wa siku huwa wanakuja kuacha kuuza gesi wanabaki na mitung kama mapambo
 
Mkuu hii namba 5 embu ifafanue vyema
 
Mkuu hii namba 5 embu ifafanue vyema
Kwenye duka la mangi mara nyingi hesabu zake faida ipatikanayo ni ngumu ku calculate, sasa ukichanganya na Gesi ambazo bei zake zipo juu ni rahisi sana kufuja mtaji wa duka ukaenda kwenye gesi. Kwahyo mwisho siku inabidi achague either abaki na duka au gesi.
 
Kwenye hii biashara kuna wateja wa aina mbili:
1. Uliowakuta wanatumia gesi
2. Na uliowauzia Gesi wewe kwa mara ya kwanza

Hao wa kwanza wanatabia ya kuhama hama, sio wa kuwategemea. Ila hao namba 2 ndo wale amabao ukifunga duka ukaenda msikitini utakuta kakaa nje hapo anakusubiri. Anaogopa kununua kwingine anahisi kama hazijajaa au hazina ubora
 
Kwa uzoefu wangu na Biashara hii. Maeneo yote yote unaweza tega na yanalipa vizuri. Ila ukitega uswahilini ndani ndani wekeza kwenye Mitungi midogo sana na ukikaa road weka na mitungi mikubwa kwa kiasi chake (sio kwamba mingi sana) inaweza ikawa mitungi mikubwa 3 au 2 kila Brand.

Hao wenye viduka vidogo vya mangi halafu wameweka Mitungi wasikuumize kichwa:
1. Fanya delivery
2. Uza Complete kwa bei za offer (mteja aliyenunua Complete kwako ni lazima arudi kubadilisha, hawezi kukuhama)
3. Usipungukiwe na kitu, weka Burner, regulator, Pipe, Clamp, kila kitu na toa ushauri kama mtu mwenye experience (wengi wa watuamiaji gesi ni waoga)
4. Uwe na brand tofauti tofauti
5. Wengi wanaochanganya biashara ya Gesi na duka la Mangi huwa maisha yao si marefu, either wakate/wafilisi mtaji wa gesi au mtaji wa duka sababu ya bei za gesi zipo juu kufananisha na vitu vya dukan kwahyo akicheza vibaya tu mitungi miwili lazima imyumbishe. Mwisho wa siku huwa wanakuja kuacha kuuza gesi wanabaki na mitung kama mapambo
Namba tano sio kweli nipo field kabisa zaidi ya miaka mitatu sasa napaa kama kawaida usimamizi na umakini, kila biashara hapo inatakiwa ijitegemee mtaji.
Kwa mfano mimi nina
M. Pesa tigo pesa airtel money
Nina gesi.
Soda za jumla ,
Pombe ,
Na duka la kawaida hela hazichanganywi
Kila kimoja kinajitegemea na kujiendesha View attachment 2339955
IMG_20210815_173301.jpg
 
Ahsante kwa madini CONTROLA . Kati ya Taifa/Mihan, Oryx, Manjis na O Gas ni ipi inatoka zaidi kwa uzoefu wako?
 
Hii biashara ina uchakachuaji naona.
Nimenunua mtungi wa kilo 15 (31), nimetumia kama wiki 3 japo moto haukua mzuri, mara jiko haliwaki, kucheki mtungi bado mzito, ila una kitu kama maji ndani.
 
Back
Top Bottom