Biashara ya mchele

Genchi

Member
Aug 19, 2014
94
45
Wadau habar? Nimepata wazo la kufanya bishara ya mchele/mpunga.
Kama kuna mdau humu anaifanya naomba ushauri ;
Je ipi bora zaid
Kununua mpunga kuweka store kisha unauza badae?

Kununua mchele mkoani na kusafirisha dar kuuza?

Au ipi njia nyingine bora ya kufanya hii biashara?

Ahsanten kwa wote mtakaonishaur
 
Usisahau kuupaka mafuta maana ukikaa sana wale wadudu wenye harufu mbaya kama jasho la beberu watazaliana na kuharibu ladha ya mchele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom