Ni biashara nzuri sana huwezi kufa na njaa..
Ahsante sana mkuu kama unaifanya ama ulishawahi kuifanya naomba unipe ujuzi zaidiAnza na ndoo, ukifanikiwa uje kwenye baiskeli. Anzia primary.
Hapana mkuu, sijawahi kuifanya hii biashara, wazo lako ni zuri la kufanya biashara na kujikwamua kimaisha, kama unavyojua vijana wengi hawana kazi wanasubiri kuajiriwa. Usisahau kadi ya machinga.
Kazi ya kutengeneza ice cream, mali ghafi (maziwa) ipo kwa wingi, nadhani utahitaji friza kwa ajili ya kugandishia.
Shukrani Sana mkuupKwanza kabisa nenda Instagram kuna mtu mtu mmoja anawaletea Sana watu machine za kutengeneza ivo vitu anajiita biashara china kamuangalie hautokosa chochote kitu.
Shukrani Sana mkuu, ngoja nione namna ya kufanya ingawa huko insta sina accountWaafrika bado sana kusaidiana kwenye biashara. Kule insta naona kuna pages za kufundisha huu ujasiliamali
Nimemfuatilia sana youtube huyu"NELWA GELATO" yuko vizuri na ni kati ya watu walionivutia kufanya huu ujasiriamaliIngia instagram mtafute dada anaitwa queennenelwa au nelwas gelato. Huyu dada anajishughulisha na hayo mambo ya ice cream na amefika level za kimataifa. kupitia account yake huenda ukajifunza vitu au kumtafute yeye mwenyewe
Yeah!tupe picha ya hiyo biashara,mtaji kiasi gani,aina gani nzuri zinazopendwa, na maarifa mengne,asante
Asipoelekeza ntakuja ku share nanyi. Ngoja kwanza tumsubiri.Mkuu elekeza na namna ya kutengeneza ice cream ya ubuyu.